MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,370
Tumuombee Huyu Mulongo kwa zaburi 109,
Tatizo lako unatumia taarifa za JF kuhukumu mambo usiyoyajua kwa undani...
Tatizo lako unatumia taarifa za JF kuhukumu mambo usiyoyajua kwa undani...
Nimejikuta naimba nyimbo za kijeshijeshi tu, sijui nini kimenisibu?Huyo mjinga alipelekwa Arusha kuikomoa CDM na CCM-Lowassa. Hata ktk mazungumzo ya kawaida ukikutana nae utajua jamaa hakuna kitu kichwani. Kikwete amedhalilisha sana hizi nafasi za uDC na uRC! Kuanzia vurugu za Gesi Mtwara na kuchinja Mwanza na Geita kote huko ni kwasababu ya wateule wajinga wa Kikwete!
Tatizo lako unatumia taarifa za JF kuhukumu mambo usiyoyajua kwa undani...
Tatizo lako unatumia taarifa za JF kuhukumu mambo usiyoyajua kwa undani...
Revenge ya haraka lazima ifanywe ni kumfuta mkuu wa mkoa hata kwa ghasia tu..Hii haivumiliki na Ummaa unaelewa hakuna haki inayoombwa ninatotoa tamko hapa ARUSHA TWENDENI MITAANI TUKAMTOE LEMA...Ndugu zangu kumtoa Lema sio kwenda polisi kumdai njia pekee ni kudili na watalii ofisi za umma,mkuu wa mkoa na polisi..polisi mnakaa nao popote mkimuona dedisha huyo huyo wenzie watapata fundisho lakini tukikaa kulalamika hawa wanaelekea kufa wanataka wampate wakufa naye JAMANI ARUSHA ISITAWALIKE MPAKA LEMA AACHIWE NA MKUU WA MKOA APOTEE.Kula like mkuu. Strong hoja
ndivyo mnavyojidanganya, wale wanachuo waliokuwa wanamshangilia Lema na kumzomea mkuu wa mkoa(ccm) walikuwa wametoka mkoa wa jirani?Usidanganye watu arusha wameshachoka na lema
Kama video tumeiona na kila kitu tumekisikia. Hayo ya undani wewe ndio ueleze hapa kuna siri gani ya kumkomoa Lema?Tatizo lako unatumia taarifa za JF kuhukumu mambo usiyoyajua kwa undani...
Usidanganye watu arusha wameshachoka na lema