Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwanza pole kwa kuumia nafsi katika kuyashuhudia haya. Nimekusoma in between the lines, nakushauri urejee nyumbani Tanzania, uwashauri hicho cha kufanya ili kuutuma ujumbe wa "enough is enough".
Nimekushauri kwanza urejee, ndipo uwashauri, ili usimamie utekelezaji wa hiyo "enough is enough", vinginevyo ningekushauri, uwashauri wewe ukiwa huko huko, nikakikumbuka kisa cha "Kinjekitile"
Safari ya kuelekea 2015 ilishaanza kitambo, hivi sasa ni mwendo mdundo, na hapa bado haijashika kasi ya juu kabisa, hapa ni Lema tuu, its even worse towards 2015!, maana wale "vinara" nao wameshawapatia sababu, its only the matter of time!, to make sure you "contain them" to clear the way for CCM Tena!.
Mimi Pasco wa Jf, natamka wazi kuwa things as they are of now!, we have not yet had enough!, yaani hapa tulipo, enough is not yet enough, we need more and more till we get enough!.
Its only when we have had enough, then we'll be able to say "we have had enough".
Now its not enough for CCM, and 2015 will not be enough either kwa sababu 2015 "ni CCM Tena!", we can only say enough when we have enough!, as of now, its not yet!.
Rwakatare amepumzishwa, Lema amepumzishwa!, bungeni kina Lissu wamepimzishwa, wengine pia wakuu zaidi watafuatia watapumzishwa, ili 2015 iwakute mkiwa mapumzikoni, hivyo its just a walk over kwa wenyewe!.
Mungu Ibariki Tanzania.
Pasco.