Wengine tunasubiri tusikie amekamatwa kwa kosa gani.
Huyu ni Lema bwana!inawezekana kosa lake halihusiani na vurugu zilizotokea kule chuoni.
Tatizo lako unatumia taarifa za JF kuhukumu mambo usiyoyajua kwa undani...
Uongozi wa CDM unapaswa kuchora mstari - wa kuhakikisha vitendo hivi vinakoma. Kuendelea kulalamika na kudai serikali na dola inawaonea hakutoshi tena (rejea "Karipio Kali). Wanahitaji kuamua kama wataendelea kufanyiwa hivi au watume ujumbe kuwa "enough is enough".
wafikirie namna moja itakayotuma ujumbe dhahiri, wa makusudi na usio na shaka wala utata
MMM (BGM)
Wanatafuta kila namna ya kumwaga damu ili wapate sababu ya kauli zao kwamba CDM ni chama kinachotaka kuleta umwagaji damu nchini. Wanajua fika Arusha hawana chao labda ndio sababu hawajali, lakini wanachokosea ni kwamba maovu wanayoyatenda Arusha yanawagusa Watanzania wote kila kona ya nchi yetu na hivyo kuzidi kuongeza umaarufu wa CDM.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwanza pole kwa kuumia nafsi katika kuyashuhudia haya. Nimekusoma in between the lines, nakushauri urejee nyumbani Tanzania, uwashauri hicho cha kufanya ili kuutuma ujumbe wa "enough is enough".
Nimekushauri kwanza urejee, ndipo uwashauri, ili usimamie utekelezaji wa hiyo "enough is enough", vinginevyo ningekushauri, uwashauri wewe ukiwa huko huko, nikakikumbuka kisa cha "Kinjekitile"
Safari ya kuelekea 2015 ilishaanza kitambo, hivi sasa ni mwendo mdundo, na hapa bado haijashika kasi ya juu kabisa, hapa ni Lema tuu, its even worse towards 2015!, maana wale "vinara" nao wameshawapatia sababu, its only the matter of time!, to make sure you "contain them" to clear the way for CCM Tena!.
Mimi Pasco wa Jf, natamka wazi kuwa things as they are of now!, we have not yet had enough!, yaani hapa tulipo, enough is not yet enough, we need more and more till we get enough!.
Its only when we have had enough, then we'll be able to say "we have had enough".
Now its not enough for CCM, and 2015 will not be enough either kwa sababu 2015 "ni CCM Tena!", we can only say enough when we have enough!, as of now, its not yet!.
Rwakatare amepumzishwa, Lema amepumzishwa!, bungeni kina Lissu wamepimzishwa, wengine pia wakuu zaidi watafuatia watapumzishwa, ili 2015 iwakute mkiwa mapumzikoni, hivyo its just a walk over kwa wenyewe!.
Mungu Ibariki Tanzania.
Pasco.
Tatizo lako unatumia taarifa za JF kuhukumu mambo usiyoyajua kwa undani.
Wewe kila mtu hajui jambo kwa Undani.
Ucje kuwa yule jamaa wa Iraq alifahamika kama "Mr. Chemical"
Pinga mpaka mwisho WEKA HUO UNDANI HAPA UNAOGOPA NN KAMA HUWEZI ACHA TUKOSOE TUNACHOONA HAKIFAI
Siku 3 ukajua hakuna chadema we ni mwongo tena mkubwa hzo tathimini zako ni za kusadikika.<br />By BAK<br />
Wanatafuta kila namna ya kumwaga damu ili wapate sababu ya kauli zao kwamba CDM ni chama kinachotaka kuleta umwagaji damu nchini. <b>Wanajua fika Arusha hawana chao labda ndio sababu hawajali,</b> lakini wanachokosea ni kwamba maovu wanayoyatenda Arusha yanawagusa Watanzania wote kila kona ya nchi yetu na hivyo kuzidi kuongeza umaarufu wa CDM.
<br />
Ni kweli - majuzi nilipita Arusha kutokea Nrb na kukaa siku 3. Hakuna Chadema pale -- kuna Chalema tu!
Tatizo lako unatumia taarifa za JF kuhukumu mambo usiyoyajua kwa undani...
Tatizo lako unatumia taarifa za JF kuhukumu mambo usiyoyajua kwa undani...
Hiki ndicho alichokisema Mzee Mwanakijiji. Mbinu za kawaida za Chadema ni hizi mbili tuu maarufu, kuitisha maandamano, na kufanya mkutano wa hadhara na ama kulalamika, ama kuwashitaki kwa wananchi!, sasa kama unazo mbinu nyingine zaidi ya hizi, wasaidie!.Katika sakata hili zima mimi naona tu ni arrogance ya mkuu wa mkoa kutaka kulipiza kisasi.
Tuna tatizo kubwa sana la hawa wakuu wa Mikoa na wakuu wa wilaya.Wao kazi yao kubwa ni kuidhibiti CHADEMA.
Hicho ndicho kimekuwa chanzo cha mkuu wa mkoa kuanza kumsaka Lengo ni kuonesha kuwa YEYE (Mkuu wa mkoa Mulongo) kwamba yeye ana nguvu.What Kind of UJINGA na UPUMBAVU na Matumizi mabaya ya Madaraka.
CHADEMA is in a war.Inapigwa sana vita kuanzia BUNGENI,Halmashauri na kwenye serikali kuu.Nashauri CDM wabuni mbinu mpya ya kukabiliana na uonevu wa namna hii.