Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
Achana na huyo gamba ambaye popote alipo anahemukwa na pumba mdomoni mwake. Siyo kwamba hajui bali anajifanya hajui.You have no idea what I know.. sikurupuki...
Achana na huyo gamba ambaye popote alipo anahemukwa na pumba mdomoni mwake. Siyo kwamba hajui bali anajifanya hajui.You have no idea what I know.. sikurupuki...
Tatizo lako unatumia taarifa za JF kuhukumu mambo usiyoyajua kwa undani...
Wasipofanya hivi - na nimewahi kulisema hili pia - watajiandaa kulia na kusikitika na wasipoangalia kujikuta wanazika viongozi na wanachama wao kwani watawala hawaogopi maneno makali ya majukwaani, au vitisho vya matamko. CDM wafikirie namna moja itakayotuma ujumbe dhahiri, wa makusudi na usio na shaka wala utata kuwa mabadiliko ya nchi yanakuja na hakuna lolote ambalo CCM au serikali yake wanaweza kufanya kuzuia.
MMM (BGM)
mkuu hulali?
You have no idea what I know.. sikurupuki...
Jeshi la Polisi kama lilikuwa linamtaka Lema vibaya namna hiyo lingeweza kabisa kutumia njia za kawaida za kisheria ikiwemo kumpa wito wa kufika makao makuu ya Polisi wakimueleza anahitajika kwa nini na kama angekataa basi kupata kibali cha mahakama kumuendea na kumkamata na kama kutoa warranti ya kipolisi basi jambo hilo lingefanyika bila kuonesha hisia kuwa Lema analengwa bila ya sababu (targetted for no apparent reason) isipokuwa tu kwa vile ni Lema na ameonesha msimamo wake wa kutokuwapigia magoti watawala. Ni Uhuru huu wa Lema unawatisha watawala zaidi kuliko kitu kingine chochote.
MMM (BGM)
Mimi bado najiuliza... Hivi serikali inadhani kwa kumkamata Lema itakuwa imemkomoa au kuwakomoa wanachadema au chadema yenyewe? Does it have any positive impact to the government at all?
Itabadilisha maamuzi ya wananchi kwenye sanduku la kura 2015?
Sometimes viongozi wa serikali wanasababisha skendo zisizo na maana... Au ndio wanataka kuhamisha attention ya wananchi kwenye bajeti ya maji iliyobumba huko bungeni?
Tatizo lako unatumia taarifa za JF kuhukumu mambo usiyoyajua kwa undani...