Ninakwenda mafunzo ya JKT...

Status
Not open for further replies.
Wanaenda kupoteza fedha zetu tu hawa kwenye hiyo SEMINA ya JKT wao wanaita mafunzo ya JKT.
 

Mkuu umenifurahisha.
 
Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu

Khaaaaaaaa! JKT gani hiyo ya isiyozidi miezi 3? Hapo mnaenda kutalii tu. Utamu wa ni JKT kuanzia miezi 6!
 
Chadema watapata muda wa kupumzika sasa.Manake kila kona unawakaba
 
Afadhali,yamkini ukirudi utakuwa mzalendo kwa nchi yako,hutawasuport wanaoua tembo
tembo wetu na mafisadi"
 
You gotta be serious mkuu. wiki 3..!??imekaa kisiasa zaidi

Nenda kwenye kambi yoyote ya jeshi. Kasimame nje ya geti, wala usiingie ndani, wewe simama tu nje karibu na geti la kuingia kambini kwa nusu saa. Halafu njoo utuambie kama hujajifunza kitu.
 
Mdogo wangu anaenda JKT Musoma, ole wako Mwigulu Nchemba umguse. Hata panya hatapona huko kwako!
 
unategemea ukitoka huko utakuwa umejifunza nini?wanaotuibia sasa ni hao waliotoka na kupitia JKT!!!!
 
Duh! JKT wiki tatu!! What a joke?? Kisiasa hili lawezekana, kitaalamu it is questionable!
 
Mwigulu Nchemba, tunakutakia kila la heri, nadhani ukirudi kutoka huko Hautapoteza muda wako kuitukana CHADEMA na viongozi wake. Mafunzo ya Jeshi yanachangamsha akili hautabaki kama ulivyokuwa mwanzo...Mungu akusaidie kabisa

Asante kwa taarifa....

Mmm, hadi Pasco amekupa like!? Kazi nzuri my dada
 

Good for your decission. unataka kuwa askari wa chama chako! green brigade hawatoshi sio. Nini malengo yako mengine zaidi ya hayo. utaweza ku-meet malengo hayo in thee weeks? kwa hulka yako I would advise no any to teach you any military skills. I guess they will detect the type you are and find out how to train you-all the best.
 
Ati wiki tatu? Kaka mwaenda kujifunza ama kutalii? Enewei kila la kheri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…