Ninajihisi mjamzito, lakini sikumbuki ni wa nani

Habari zenu wapendwa, samahanini kwa Uzi huu kama nitakuwa nimewakwaza.

Hapo nyuma nilikuwa na boyfriend alikuwa ni mtu asiyejari ukaribu wetu alikuwa anajari simu yake zaidi kuliko mimi ilifikia kipindi ata tukiwa 6/6 tunafanya akiwa anaperuzi nilijitahidi kumweleza kuwa hiyo tabia ananikwaza lakini hakuacha alidai kwamba anapopanda na simu inamfanya achelewe ukweli ni kwamba alikuwa ananiondolea mode hata nilikuwa si enjoy kabisa.

Sasa nikazua ka tabia ka kuchepuka, kusema ukweli tabia hiyo nilikuwa sina ila kutokana na aliyokuwa ananifanyia huyu, ikabidi tu nijaribu kutafuta furaha yangu.

Baada ya kutoka zaidi ya mara 7 kwa watu tofauti, bahati mbaya wiki iliyopita akawa ametufuma na rafiki yake na huo ndio ukawa mwisho wetu wa mahusiano.

Sasa wapendwa nangu juzi nilikuwa najisikia ovyo ovyo ikabidi niende kupima na majibu yametoka kwamba mie mjamzito.

Nimewaza sana ata sitambui nimwambie nani najua fika nikimwambia useni atakataa tu sasa jamani nifanyeje mie?
Singo maza wengi wako kama wewe!
Ktk waliokut****a tafuta boya kisha mpe mzigo.
 
HUJISKII KUWA NA UKIMWI?
HUJISKII KUWA NA GONO?
HUJISKII KUWA NA MAAMBUKIZI SHINGO YA KIZAZI?
HUJISKII KUTUMIKA KINGONO?
HUJISKII KUWA CHEAP?
HUJISKII KUWA INSIGNIFICANT NOBODY?

MWANAMKE ANA SIKU 9-10 ZA KUPATA UJAUZITO KWA MWEZI MMOJA!
KUWA KATIKA HIYO WIKI NA SIKU TATU ULIFANYA MAPENZI NA WATU 8?
UNLESS NI BIDHAA UNATANGAZA LAKINI KAMA NI KWELI KUNA SHIDA HAPA ZAIDI YA USENI!
 
Do mnanpa laana au mnanishauri?
 
Habari zenu wapendwa, samahanini kwa Uzi huu kama nitakuwa nimewakwaza.

Hapo nyuma nilikuwa na boyfriend alikuwa ni mtu asiyejari ukaribu wetu alikuwa anajari simu yake zaidi kuliko mimi ilifikia kipindi ata tukiwa 6/6 tunafanya akiwa anaperuzi nilijitahidi kumweleza kuwa hiyo tabia ananikwaza lakini hakuacha alidai kwamba anapopanda na simu inamfanya achelewe ukweli ni kwamba alikuwa ananiondolea mode hata nilikuwa si enjoy kabisa.

Sasa nikazua ka tabia ka kuchepuka, kusema ukweli tabia hiyo nilikuwa sina ila kutokana na aliyokuwa ananifanyia huyu, ikabidi tu nijaribu kutafuta furaha yangu.

Baada ya kutoka zaidi ya mara 7 kwa watu tofauti, bahati mbaya wiki iliyopita akawa ametufuma na rafiki yake na huo ndio ukawa mwisho wetu wa mahusiano.

Sasa wapendwa nangu juzi nilikuwa najisikia ovyo ovyo ikabidi niende kupima na majibu yametoka kwamba mie mjamzito.

Nimewaza sana ata sitambui nimwambie nani najua fika nikimwambia useni atakataa tu sasa jamani nifanyeje mie?
Nimilikishe mm,nilonao hawanitoshi na mama watoto hataki kubeba tena
 
Unamjuwa?
Ata simjui ila uache kugawa papa kama kuku lol.....piga hesabu vizuri ujue ni lini ilikua mara ya mwisho kuingia period zeni hesabu kwenye izo siku ulikutana ma nani....tulia ludisha kumbukumbu nyuma ila mwisho USITOE MIMBA....
 
Back
Top Bottom