Katoto kadhuri
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 759
- 327
- Thread starter
- #41
Sawa diaSasa jamani na hilo ni swali la kuumiza kichwa? Alio ubeba huo ujauzito ndio mwenye nao.tusipeane stress
Sawa diaSasa jamani na hilo ni swali la kuumiza kichwa? Alio ubeba huo ujauzito ndio mwenye nao.tusipeane stress
Hapana aisee... we katafute kwingine.. hiki kinatutosha sisi...Tukionja wote kidogo kidogo inapendeza sana mkuu
Apambane na hali yake mpk akijifungua ndo akapime ajue mtoto wananiNdo yashatokea sasa... mwambie cha kufanya... Hayo ya kondomu ni wakati wa kugawa na si wakati keshapata mimba
Engn siwafaham vzurWaite wote kwa pamoja wape surprise wambie hii mimba yenu wote
Harafu wasikilizie
Ni hilo tu mkuu
Upo tayari kuwa na mtoto?Sawa dia
Minaaaaa.... kwa hiyo akawakusanye wote saba kwenye foleni ya kupima DNA? AhahahahahaApambane na hali yake mpk akijifungua ndo akapime ajue mtoto wanani
Mshahara wa dhambi ni mautiHabari zenu wapendwa, saanini kwa Uzi huu kama nitakuwa nimewakwaza.
Hapo nyuma nilikuwa na boyfrnd alikuwa ni mtu asiyejari ukaribu wetu. Alikuwa anajari sim yake zaidi kuliko Mimi ilifikia kipindi ata tukiwa 6/6 tunafanya akiwa anaperuz. Nilijitahidi kumweleza kuwa hiyo tabia ananikwaza lakini hakuacha alidai kwamba anapopanda na sim inamfanya achelewe.. Ukweli ni kwamba alikuwa ananiondolea mode hata nilikuwa siinjoy kbx
Sasa nikazua ka Tabia ka kuchepuka, kusema ukweli tabia hiyo nilikuwa sina Ila kutokana na aliyokuwa ananifanyia huyu, ikabidi tu nijaribu kutafuta furaha yangu.
Baada ya kutoka zaidi ya Mara 7 kwa watu tofauti, bAhati mbaya wiki iliyopita akawa ametufuma na rafiki yake na huo ndio ukawa mwisho wetu wa mahusiano.
Sasa wapendwa nangu juzi nilikuwa najisikia ovyo ovyo ikabidi niende kupima na majibu yametoka kwamba mie mjamzito.
Nimewaza sana ata sitambui nimwambie nani. Najua fika nikimwambia useni atakataa tu sasa jmn nifanyeje mie?
Halafu kwa mfululizo....bilaa kupumzikaa khaaaa hiyo k lazimaa ichacheHii nayo hatari... Yaani akapime tu ukimwi
Asa niseme uongo jmnTabia ya kuchepuka yaonekana unayo kiasil maana watu 7 tofauti kwel ?
Anamoyo wallah mm cwez ,hapo nimimba tu ndo kagundua anayo na magonjwa vepeeeImagine watu saba wote kavu
Waite wote wale unaowafahamu wakikataa njoo pmEngn siwafaham vzur
Sina ukimw mieHalafu kwa mfululizo....bilaa kupumzikaa khaaaa hiyo k lazimaa ichache
Kwa bibi?Duuh! Unajiweza aisee kuhimili hiyo mizigo saba ifanye yao humo kwa bibi tena kwa muda ulio karibu sio jambo dogo aisee.
Mie nakushauri hesabu siku zako halafu uangalie ni nani alihusika hiyo siku.
Na ukishamjua baba wa mtoto jifunze kujua thamani ya mwili wako.
Nilikutana klab mmoja nayemjua ni uyo rafiki wa boy sasa nAeee katishiwa kanichukia sanaWaite wote wale unaowafahamu wakikataa njoo pm
Ntailea
Teh
Kajuaaa kunichoshaa wallah....Anamoyo wallah mm cwez ,hapo nimimba tu ndo kagundua anayo na magonjwa vepeee
Nyama to nyama itakuwa na mume wangu tyuuuu nikiolewaaa saiv condom kwasanaa
Fom forUna elimu ya level gani?
Samahan.