Katoto kadhuri
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 759
- 327
- Thread starter
- #21
Baati mbaya tyUnaachia Sana chini mama
Baati mbaya tyUnaachia Sana chini mama
Ndio maana ata sitaki kumwambiaUseni ana haki ya kukataa. Na alikukataa siku nyingi tu.
Na badala ya kujitambua thamani yako kama mwanamke ukazidi kujidhalilisha kwa kutembea na wanaume tofauti and now you don't know which one got you pregnant.
You have a long way to go young lady.
yapHii ni wiki mzee
Kondomu zinazuia mimba, hazitoi mimba.... anayo unamwambia mambo ya kondomu, afanye nayo nini?Kwani condom zinauzwaga shingapi?
Dia niko vzuri kunako uwezi amini, sijui ndio wanaume wa saaasaShogaa ukiomaa mwanaume mnakwichikwichi ana peruzi basi jiangalieee
Labda unanukaa kwa bibi
Utakuwaa na bwanaa anafanyaa tu kwankuwa hana namna
Hauna amsha amsha kitandani
We ni gogo ndo maaana anapata muda wa kuperuzi hivi na kashikashi zangu kitandani hata hiyo simu utashikikaaa kweli???
Utakuwaa na tatizo........
Anagawaje papuchi kavu kavu,angetumia iyo condom haya yacngetokeaKondomu zinazuia mimba, hazitoi mimba.... anayo unamwambia mambo ya kondomu, afanye nayo nini?
Kwanini nisiwepo?
Niko sawaUshauri kapime kwanza v.v.u
Ndo yashatokea sasa... mwambie cha kufanya... Hayo ya kondomu ni wakati wa kugawa na si wakati keshapata mimbaAnagawaje papuchi kavu kavu,angetumia iyo condom haya yacngetokea
Kwani uko wapi bibie? Na mvua mvua hizi . hebu ni pmAisee ww ni hatari
Imagine watu saba wote kavuAnagawaje papuchi kavu kavu,angetumia iyo condom haya yacngetokea
Umepima baada ya mimba?Niko sawa
Hii nayo hatari... Yaani akapime tu ukimwiImagine watu saba wote kavu
mpaka kufikia hapa ushapata ushauri wa maana? ngoja kati ya hao wanaume nane lazima kuna kama watano watakuwa member humu, ngoja tusikie mchango wao kwanza.Wee upendi kutoa ushaur?