ndiyo.na anataka kurudi huko huko/?
NiulizeMkuu ukiwa hewani nataka kukuuliza sheria yetu inaitambuaje mikataba ya muda,maana kuna makampuni yanatoa mikataba ya mwaka mwaka ili kukubana usidai haki zako kwa hofu ya kunyimwa mkataba mewingine,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria inataka kesi zote za labour zianzie cma na kama in unfair termination muda usizidi siku 30 tangu kuachishwa ,muda wowote utakaozidi unabidi uombe kufungua nje ya muda kwa kutoa sababu za msingi kwa kila Sikh uliochelewa .hujaelewa tutafutane pm kwa ushauri WA bure tuMfanyakazi aliyeachishwa kazi zaidi ya mwaka mmoja, na sasa anahitaji kufungua kesi kutokana na unfair termination, anaweza kuanzia wapi? CMA au HC moja kwa moja? Kuna ndugu yangu amekumbwa na hilo janga.
Habari kaka, Mimi ni mwajiriwa kwenye chuo fulani mkoani. Nataka kuacha Kazi nifanye shughuli zangu binafsi maana naona zinanilipa kuliko hii Kazi ninayoifanya. Nahitaji ushauri wako kaka. Je naweza kuandika barua ya kuacha Kazi ndani ya masaa 24? Je vipi kuhusu mafao yangu nipo LAPF, naweza kupata chochote maana nimechangia Kwa miaka sita sasa. Je sheria inasemaje Kwa MTU anayeacha Kazi masaa 24?Kuna mambo mengine kuandika muda hautoshi so ukinipm namba tunawacliana kwa kirefu BT plz free services
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother hiyo iko kihalali na haki pia zipo wala usihofuMkuu ukiwa hewani nataka kukuuliza sheria yetu inaitambuaje mikataba ya muda,maana kuna makampuni yanatoa mikataba ya mwaka mwaka ili kukubana usidai haki zako kwa hofu ya kunyimwa mkataba mewingine,
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother issue zote za kazi zinaanzia CMA ila utatakiwa utoe sababu kwa affidavit(condonation) kwa nini umechelewaMfanyakazi aliyeachishwa kazi zaidi ya mwaka mmoja, na sasa anahitaji kufungua kesi kutokana na unfair termination, anaweza kuanzia wapi? CMA au HC moja kwa moja? Kuna ndugu yangu amekumbwa na hilo janga.
Ukiacha Massaa 24 inabidi umlipe mwajiri mshahara wa mwezi mmoja au uache siku 1 kabla ya mshahara kuhusu lapf utapata FAO LA kujitoa but not instantly u consult now kwanza maana kuna kuwa na usumbufu ilinikuta Mimi miez 8 iliyopita so kabla hujaacha nenda lapf angalia statement ya michango yako na ujue vitu gani utavihitaji toka kwa mwajiri coz waajiri wengi ukiwa nje ya kazi hawakupi ushirikianoHabari kaka, Mimi ni mwajiriwa kwenye chuo fulani mkoani. Nataka kuacha Kazi nifanye shughuli zangu binafsi maana naona zinanilipa kuliko hii Kazi ninayoifanya. Nahitaji ushauri wako kaka. Je naweza kuandika barua ya kuacha Kazi ndani ya masaa 24? Je vipi kuhusu mafao yangu nipo LAPF, naweza kupata chochote maana nimechangia Kwa miaka sita sasa. Je sheria inasemaje Kwa MTU anayeacha Kazi masaa 24?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshapitisha miezi 8 wakati CMA mwisho ni siku 30 tu.1. Mkuu mimi nimepunguzwa kazini tangia mwezi wa kwanza mwaka huu, aliyekuwa muajiri wangu alinilipa mwezi mmoja tu kama compasation. Je ni halali kulipwa mwezi mmoja tena kwa kulazimishwa?
2. Pia tangia nipunguzwe kuna hela alinikata kwa ajili ya board ya mkopo kwa mshahara wa mwezi wa kwanza ila mpaka leo hajaipeleka, nifanyaje hii hela ipelekwe board?
3. Baada ya redundancy alinilipa mwezi mmoja likizo lakini hii hela ikakatwa kodi na nssfa ila mpaka sasa hajaipeleka nssf, je ni halali kukata hela ya likizo kodi na fao la jamii? Pia hela aliyonilipa alinikata kodi na nssf ila mpaka sasa haijapelekwa je na hili nifanyaje maana muajiri anatamba sana na kuhonga kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app