Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 988
Kuna sababu gani ya kufuata sheria za nchi wakati mwajiri akikufukuza kesi inachukua hata miaka 3 kuisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechelewa. Mwisho wa kufungua kesi ni siku 30 tu toka uachishwe kazi.Nina zaidi ya Mwaka mmoja, toka nimepokea barua ya kuachishwa kazi na muajiri wangu.
Kutokana na sababu mbalimbali, zikiwemo Kuugua, kufiwa, kuuguliwa, kufanya uhamisho wa Makazi pamoja na uhamisho wa watoto Shuleni, kwenda nje ya Nchi kwa ajili ya Matibabu, hatimae nimetulia, na ninahitaji kufungua shauri/madai kwa muajiri wangu....JE., ni taratibu zipi za kufuata...kutimiza azima/malengo yangu...!?
Sent using Jamii Forums mobile app
niinbox ur number ukireference tatizoNina zaidi ya Mwaka mmoja, toka nimepokea barua ya kuachishwa kazi na muajiri wangu.
Kutokana na sababu mbalimbali, zikiwemo Kuugua, kufiwa, kuuguliwa, kufanya uhamisho wa Makazi pamoja na uhamisho wa watoto Shuleni, kwenda nje ya Nchi kwa ajili ya Matibabu, hatimae nimetulia, na ninahitaji kufungua shauri/madai kwa muajiri wangu....JE., ni taratibu zipi za kufuata...kutimiza azima/malengo yangu...!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ruling ikitoka kwa msajili,kama kukamata mi za mwajili zisipotekelezwa ikoje hiyo kisheria?Umechelewa. Mwisho wa kufungua kesi ni siku 30 tu toka uachishwe kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau,
Nipo jamvini kujibu maswali kuhusu kuachishwa kazi kwa matatizo ya kinidhamu, utendaji, uhitaji wa mwajiri kimajukumu na namna yoyote.
Nakaribisha na wengine kuongeza majibu na maoni yao ili watu waelewe sheria za kazi vizuri.
Acha kufanya biashara bro. Umeamua kuinvite watu wakuulize hadharani basi na majibu yatoe hadharaniKuna mambo mengine kuandika muda hautoshi so ukinipm namba tunawacliana kwa kirefu BT plz free services
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna upungufu wa madaktari nchi nzima sasa Kama hata walipottutakuwa tunawadhalilisha sisi wagonjwa tutegemee nini kama sio kujifia huku tunajiona??? Kwa hili HAPANA, lazima busara na hekima itumike. Mtu ni uzima, ugonjwa ni dalili ya kifo, sasa ukimsimamisha Dr unahalalisha watu wafe. Hii HAIKUBALIKI. Waziri wa afya chukua hatua kwa mapana ya afya ya wananchi wa Bagamoyo. Mimi si mkazi wa huko lakini ni Mtanzania, Tanzania kwanza na, Tanzania ni ya Watanzania wenye afya kupitia ushauri wa madaktari. Andante.Jamani,,hizi jazba wakati mwingine hazifai huwezi kumsimamisha kazi mtu muhimu Kama Dr unless anatuhuma za kuwapa wagonjwa huduma zilizokinyume na haki za mgonjwa, hawa ni watu muhimu Sana. Nadhani bila kusita Ded kachemsha Sana. Yeye ndie asimamishwe
Wadau,
Nipo jamvini kujibu maswali kuhusu kuachishwa kazi kwa matatizo ya kinidhamu, utendaji, uhitaji wa mwajiri kimajukumu na namna yoyote.
Nakaribisha na wengine kuongeza majibu na maoni yao ili watu waelewe sheria za kazi vizuri.
MKUU NAOMBA NAMBA YAKO TAFADHALI NIKUPATIE KAZI NZURI