Kufa kufaana.....!!!!!Jibu sahihi ni la pale juu....
Jamaa wamebanwa saana mambo ya kodi na pesa zingine.
Kampuni inaenda kufirisika.. Wanachokifanya sasa ni kurudisha pesa zao tu...
Ukilipa ndio baasi.... La msingi km wanakudai we kausha tu usiwalipe teena hawana watu wazuri wa kudeal na iyo situation.
Ugomvi wao na tra haukutakiwa uwaaffect wateja....
Tuwatapeli tu na sisi
Wamekupigia wakasemajeeMm wameniwashia moto juzi wamenipigia simu sema ni mdada nikaogopa ila namba nimechukua lazma nikaimbishe Mungu akinijalia kulipa sio kwa biti zile
Mkuu hapa nimejificha chini ya kitanda . Sina maweMkuu mimi nilikuwa ninadaiwa 140k sasa ikawa kwenye kurejesha nazidisha kiwango ili mkopo wangu ukue,waliponichafua ni pale nimewalipa 160k nikitegemea ntaikopa tena lakini wapi.
Walilomba pesa yote na mkopo hawakunipa.
Nasemaje,km hauna usiwalipe ila km unayo ya mchezo walipe.
Poa mkuu afadhali kupeana moyo .hali teteMikwara tu hiyo acha uoga mimi wananidai 120k daily wanatuma meseji sina mpango wa kulipa kwa sasa
Hali tete watuvumilie ila sio kutishanaMikwara tu hiyo..
Mimi deni lao limebaki 180,000/=
ila sijatumiwa ujumbe wowote na muda wa kulipa umepitiliza..
Nimeamiaa Tigo nivushe, nako nawavutia Maji marefu..
Watu wanasema deni halimfungi mtu.
Haaaah haaaah haaaah Mimi nadaiwa 150k wametuma meseji hadi wamechoka sasa wananiomba niwe nalipa kwa installments kwamba kila siku 15k eti kwa siku 10 niwe nimemaliza deni, utajisikiaje majina yako yote kuorodheshwa kama mdaiwa sugu?...
Madhara yake yanaweza kua makubwa sana kwako. Deni lako dogo la tala lisikuharibie kazi, biashara,familia au utu wako.
LIPA jioni hii kuepuka fedheha
Namba ya kampuni mpesa 888111
Tigo pesa 888000
Namba ya Kumbukumbu Ni Namba Uliyo Jisajilia TALA
Wananidai 130k
Akasema yeye ni muwakilishi toka unajua kuwa tunakudai hivyo Leo hii tunataka ulipe akaniambia nitajie Leo utalipa saa ngap nikamdanganya saa 8 akasema Fanya hvyo bila hivyo tutachukua hatuaWamekupigia wakasemajee
Akasema yeye ni muwakilishi toka unajua kuwa tunakudai hivyo Leo hii tunataka ulipe akaniambia nitajie Leo utalipa saa ngap nikamdanganya saa 8 akasema Fanya hvyo bila hivyo tutachukua hatua