Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

Wataalam wa kukopa tujuzane,
App ambazo zimezoeleka zaidi ni Tala na Branch kwa kutoa mikopo kwa haraka bila longolongo, mana kuna apps zimeanzishwa za kuzingua,
Kama kuna zingine kando ya hizo tujuzane, ambayo mtu amekopa ikawa na mrejesho mzuri.
Kumbuka ni App toka play store na sio ushauri mwingine
 
QUOTE="Mare man, post: 31027030, member: 117076"]
Wee Ni mwalimu ama nesi bila shaka
[/QUOTE]
Acha kutudharau aiseee usingeweza hata kuandika hivyo bila sisi badala ya kutudharau shauri serikali yako iwajali Walimu iboreshe maslahi na pia ipandishe madaraja kwa wakati bila hivyo hizo kampuni za kukopesha tutazifilisi!
 
Mimi Branch ndo wananitesa, sms za vitisho hatariiii fire

Nataka nimuuzie Pierre Liquid kesi watasikia tu

"Aaaah Branch, Branch ikidhurumiwa itabaki kuwa juu, juu mawinguni, itabaki kileleni, chiiiiiiiii"
Screenshot_20190408-151913.jpeg
 
Mzee usiwaze,wengine tuna madeni ya kila siku elfu 60,000 tunajionea sawa tu,unaposema laki halafu imepita na mwezi nadhani najisikia kucheka kwa furaha.....
Everi badi sei chiiiiiiiiiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani nimesoma comments humu nimegundua wabongo wengi wajinga na c waaminifu hasa kwenye pesa hv unajua shida hazi ishi alafu mnawaharibia wenzenu ambao huwa wanapata msaada coz riba zao ni ndogo unaweza uka amka huna kitu au mshahara umechelewa uki ingia tala au branch unapata hata laki ya kusogeza cku kama unarecord nzuri ya ulipaji msiwaharibie wenzenu mtaani kugumu hukukopesheki

Me sina tabia ya kukopa kwa riba ndg yangu basi tu nilikuwa kila nikiingia mtandaoni napata ads za Branch nikavuta elfu kumi tu nikiwa na lengo kabisa la kutoripa

Mimi na riba mbali mbali
 
Dah! Haya maisha hayana usawa wewe laki moja tu unataka kuhama mji kule Lema ana 400m na kapumzika kabisa!!
Tatizo unaweza kukuta wakati unakopa ulikua baa unataka kulipa bili 😀😀
 
Jamani nimesoma comments humu nimegundua wabongo wengi wajinga na c waaminifu hasa kwenye pesa hv unajua shida hazi ishi alafu mnawaharibia wenzenu ambao huwa wanapata msaada coz riba zao ni ndogo unaweza uka amka huna kitu au mshahara umechelewa uki ingia tala au branch unapata hata laki ya kusogeza cku kama unarecord nzuri ya ulipaji msiwaharibie wenzenu mtaani kugumu hukukopesheki

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi huwa siwapendi watu wasio waaminifu. Anyway, UAMINIFU ni tunda la Roho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina daiwa laki moja na tala,nimeshindwa kuwalipa kwa wakat deni lao,kutonana na matatizo ya kifamilia.

Nakosa furaha maana tala wananitumia ujumbe wa vitisho,kuwa watanitangaza kwenye radio na magazet kuwa Mimi ni mdaiwa sugu.

Pia wanasema wameanza kunifuatilia kwenye mtandao wa tigo na mtaani kwangu kwa kutumia jeshi la Polisi.

Nakosa furaha kabisa, natamani kuwalipa lakini vyuma vimekaza sana.
Nifanyeje jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye gazeti tangazo linalipiwa,kwenye radio tangazo linalipiwa pia,mmh fanya hesabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom