Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

Nina daiwa laki moja na tala,nimeshindwa kuwalipa kwa wakat deni lao,kutonana na matatizo ya kifamilia.

Nakosa furaha maana tala wananitumia ujumbe wa vitisho,kuwa watanitangaza kwenye radio na magazet kuwa Mimi ni mdaiwa sugu.

Pia wanasema wameanza kunifuatilia kwenye mtandao wa tigo na mtaani kwangu kwa kutumia jeshi la Polisi.

Nakosa furaha kabisa, natamani kuwalipa lakini vyuma vimekaza sana.
Nifanyeje jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
acha uoga mkuu akati Lema anadaiwa mil 400 na bunge na bado anadunda kitaa sembuse ww... tala wenyew wanakesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina daiwa laki moja na tala,nimeshindwa kuwalipa kwa wakat deni lao,kutonana na matatizo ya kifamilia.

Nakosa furaha maana tala wananitumia ujumbe wa vitisho,kuwa watanitangaza kwenye radio na magazet kuwa Mimi ni mdaiwa sugu.

Pia wanasema wameanza kunifuatilia kwenye mtandao wa tigo na mtaani kwangu kwa kutumia jeshi la Polisi.

Nakosa furaha kabisa, natamani kuwalipa lakini vyuma vimekaza sana.
Nifanyeje jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi wananidai laki 3,wewe ni muoga mno, mimi nimewachimba mkwara wakijaribu kunitangaza nitawashtaki mahakamani niwadai fidia ya kunidhalilisha, wanakutishiaje Police?
Kwani wewe ni mwizi? Acha ushamba wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa baba, napenda sana kulipa lakini hali yangu imekuwa ngumu sana.
Nao tala wananiambia watanitafuta na vyombo Vya ulinzi na usalama ndipo naona matatizo yanaongezeka tu
Mimi Branch ndo wananitesa, sms za vitisho hatariiii fire

Nataka nimuuzie Pierre Liquid kesi watasikia tu

"Aaaah Branch, Branch ikidhurumiwa itabaki kuwa juu, juu mawinguni, itabaki kileleni, chiiiiiiiii"View attachment 1065947
Jamani nimesoma comments humu nimegundua wabongo wengi wajinga na c waaminifu hasa kwenye pesa hv unajua shida hazi ishi alafu mnawaharibia wenzenu ambao huwa wanapata msaada coz riba zao ni ndogo unaweza uka amka huna kitu au mshahara umechelewa uki ingia tala au branch unapata hata laki ya kusogeza cku kama unarecord nzuri ya ulipaji msiwaharibie wenzenu mtaani kugumu hukukopesheki

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina daiwa laki moja na tala,nimeshindwa kuwalipa kwa wakat deni lao,kutonana na matatizo ya kifamilia.

Nakosa furaha maana tala wananitumia ujumbe wa vitisho,kuwa watanitangaza kwenye radio na magazet kuwa Mimi ni mdaiwa sugu.

Pia wanasema wameanza kunifuatilia kwenye mtandao wa tigo na mtaani kwangu kwa kutumia jeshi la Polisi.

Nakosa furaha kabisa, natamani kuwalipa lakini vyuma vimekaza sana.
Nifanyeje jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
UNAtishiwa nyau na wewe eti unaogopa...jikaze ebu hahaha
 
Sawa baba, napenda sana kulipa lakini hali yangu imekuwa ngumu sana.
Nao tala wananiambia watanitafuta na vyombo Vya ulinzi na usalama ndipo naona matatizo yanaongezeka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uoga,mimi wananidai 108,000,wameniongezea muda mpaka tarehe 15,eti ikifika April 29 sijalipa wataongeza Tsh.10800 kama adhabu.Nasubiri wanipigie simu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha angalia hiii nimeikuta sehemu
Screenshot_20190409-173617.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom