Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] acha hasira mlete shemela apendeze kuna sampo kali za kiunoMal',/';-ay/;'.,/'a mkubwa wee!
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] acha hasira mlete shemela apendeze kuna sampo kali za kiunoMal',/';-ay/;'.,/'a mkubwa wee!
Mlete wa kwako nimfundishe kutandakia vitanda.[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] acha hasira mlete shemela apendeze kuna sampo kali za kiuno
Nafasi itapatikanaNilikuwa nasikia unatafuta na mfagiaji wa ofisi Mimi naweza brother japo sijasoma sana na mshahara utanipa kidogo kidogo
"Haters watakunja"
Bado sijaoa mkuu natafuta pesa kwanzaMlete wa kwako nimfundishe kutandakia vitanda.
Ndio tunatuma kwa basiVipi Mkoani mnatuma?
Tunakuja ulipoVipi Mkoani mnatuma?
😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋Naomba ajira.mkuu niwe nawachora na mimi...mshahara hata usiponipa sawa tu
Ndio wanapenda zaidi urembo kuliko MeKwanini ni kwa wanawake tuu?
ukishaoa ndio uje tujadili hiyo exchange programBado sijaoa mkuu natafuta pesa kwanza
hahaaahahahaahahahha mkuu....Vipi Mkoani mnatuma?
Haha haha poa poa.ukishaoa ndio uje tujadili hiyo exchange program
Sio piko tunatumia Ink isiyofutika na inayofutikaWewe unatumia pickok wanazotumia wanawake kujichora. Tattoo zipo mbele bhana.
Sana kabisa ilikuepuka vishawishiMchorwaji na mchoraji lazima wawe na akili timamu
Zipo mkuuMkuu una pic yoyote ya tatoo kwenye kinena!!!?niwaletee wateja!?
Mlete shemeji achague nimchoreMkuu una pic yoyote ya tatoo kwenye kinena!!!?niwaletee wateja!?