Ninachora tattoo za aina zote kwa wanawake tu

Ninachora tattoo za aina zote kwa wanawake tu

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Rejea kichwa habari husika tunachora tattoo za kila aina kwa wanawake wote kwa gharama nafuu tattoo za shingoni, vidoleni, kiunoni, kinena, miguu na kifuani. Wake za watu nashauri uje mumeo asimamie zoezi hadi litakapo kamilika na kutoboa kipini cha kitovu na chini ya kinena karibuni saaana
back-of-the-neck-tattoo-designs-amp-meanings-way-to-the-mind-1509867487n8kg4.jpeg
Lace-Tattoo-designs48.jpeg
cd8ac465dd74a171c69dd20fe093a3d9.jpeg
 
Tattoo za bongo huwa sizikubalii sana.

Maana sijaona anae chora tattoo kwelii

Kitu kama hii ndo inafaa kwa sasa

images.jpeg
 
Nyie mwenzenu yupo serious
Ila hii kazi ina ngumu sana haina tofauti na ile ya Mganga

Anamchanja chale mwanàmke sehemu nyeti kisha maumivu
 
Back
Top Bottom