Ninachanganyikiwa!

Ninachanganyikiwa!

Unasema huwezi kutumia akili ya juu wakati hapa umemfundisha mwenzio kutumia akili??

Ila ukweli ni kwamba, kutumia mtu mpya kufuta machungu ya zamani ni sawa na kujivisha mambo ambayo yatakulipukia ukiwa peke yako bafuni!!

Babu DC!!
babu mimi sikumshauri kutumia akili, nilimshauri kuchukua break......
hakuna kuonana na yeyote faragha mpaka pale nitakapohakikisha moyo umepona majeraha yooote then nakuruhusu utumie tena huo moyo......
siamini kabisa kwenye kutumia kichwa kwenye mapenzi.
mimi naamini mapenzi ni feelings, kiungo pekee kinachoohusika hapa ni moyo siyo kichwa
 
Umeona @FP?

Mie huwa nasema siku zote, hakuna tiba bora kama kumalizana na illusions..lol!!

Ndiyo maana mdodo wangu Smile amekua sasa...hatumii tena moyo bali anatumia akili kubwa!!

Babu DC!!
mimi nadhani Smile anataka kujiahidi kutumia akili kubwa lakini bado hajawezea, labda twishen inabidi itumike hapa......
 
Last edited by a moderator:
He he he he,babu mbona unajihami?

Tutaoneshana majibu PM, maana huwezi jua nani akaibuka kidedea

Sitaki tumwue bibi kwa presha ya kukuwekea ulinzi wa KK sekurite

Acha kumchuuza mwenzio wewe,

Kesha-declare kwamba amefunga kitabu halafu unamjaza maneno ya kichochezi...

Ukiendelea hivi mie naripoti abuse haraka!

Babu DC!!
 
"The past is like an anchor holding us back. You have to let go of who you are to become who you will be!"
​
...the power of letting Go! si unamuona hata pope Benedict "amechukua hatua!"

You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.

Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?

Something inspired me to come up with this thread (curtsey of Frank ); sio hali halisi niliyonayo; Kongosho na Makoyo walinipata, lengo ilikuwa kupata mjadala tu, thanks all!

View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013
 
He he he he, mbona unaogopa?

Hebu tuache sie tuandae makabrasha ya intavyuu

Na nitahakikisha 'I win' hata kama hongo itahusika au kalumazila:lying:

Hivi unaweza kupoteza muda wako kumsikiliza Kongosho??

Kila siku nikimsimulia Bibi kwamba kuna mjukuu mmoja JF anavuta bangi kuliko watoto wa vijiweni Tandika na Temeke anabaki kucheka hadi anajiloanisha kwa machozi.....

Shaurilo kama unauvaa mkenge wake!

Babu DC!!
 
He he he he,babu mbona unajihami?

Tutaoneshana majibu PM, maana huwezi jua nani akaibuka kidedea

Sitaki tumwue bibi kwa presha ya kukuwekea ulinzi wa KK sekurite

Ahhhhhhhhhhhh wapi....hakuna kitu kama hicho kwa Babu....

Bibi yuko safe toka akiwa kigori hadi leo, kesho na siku zake zote...

Babu DC!!
 
He he he he, mbona unaogopa?

Hebu tuache sie tuandae makabrasha ya intavyuu

Na nitahakikisha 'I win' hata kama hongo itahusika au kalumazila:lying:

Mie yangu macho.....

Ukishawini usiste kutupatia feedback...sawa Kongosho?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
You don't know what you have until you loose it
Hili nimelishuhudia kwa watu wangi, wanakuja kujua thamani ya kile kitu walichokuwanacho wakati tayari wameshakipoteza.
Kuna msemo unasema "Ukiona cha nini wenzako wanajiuliza watakipata lini"

You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.​

Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?

Something inspired me to come up with this thread (curtsey of Frank ); sio hali halisi niliyonayo; Kongosho na Makoyo walinipata, lengo ilikuwa kupata mjadala tu, thanks all!

View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013
 
Unataka feedback??

Ujue watu wengine sie wabaya, ukisema unataka feedback naelewa unataka 'mtoto':second🙁nimechagua makusudi second, najua bibi ni festi) :behindsofa:

Na uzee wote huu mtoto wa nini??

Ni mafweza kwamba nitaongezea kwenye pensheni yangu yanisukume sukume kabla sijajiendea zangu?

Haya mambo ya watoto ni yenu nyie ambao hamjamaliza kutimiza wajibu wenu wa kuijaza dunia..lol!!

Samahani, mtoto hata wa kurumangia simhitaji Kongosho!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Usitukame wakunga babu na uzazi ungalipo?!

Au usitukane mamba wakati hujavuka mto

Wanamme hawana menopozi ujue?

Back
Top Bottom