Ninachanganyikiwa!

Ninachanganyikiwa!

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,502
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.​

Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?

Something inspired me to come up with this thread (curtsey of Frank ); sio hali halisi niliyonayo; Kongosho na Makoyo walinipata, lengo ilikuwa kupata mjadala tu, thanks all!

View attachment Meaning of Love.mp3View attachment Meaning of Love.mp3View attachment Meaning of Love.mp3View attachment Meaning of Love.mp3View attachment Meaning of Love.mp3View attachment Meaning of Love.mp3View attachment Meaning of Love.mp3View attachment Meaning of Love.mp3
 
Mmh, complicated aisee

Hizi 'semi' zinatumika kwa mazingira tofauti, ukitaka kuziweka pamoja hivi lazima urukwe na akili.

Ya kwanza inatumika pale unapokuwa huoni umuhimu wa mtu, siku akiondoka ndo unajua umuhimu wake 'the silence tells you he is gone'

Kwa usemi wa pili, ni pale unajiona umekamilika, hina haja na mtu, cha kushangaza from nowhere anakuja mtu na anayafanya maisha more interesting.

Ila ukiziweka pamoja zitaleta kachumbari.
 
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.
​

Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?

Mi naona hiyo kwenye red ndo sahihi, hata huyo atakaekuja ana mapungufu yake pia!!!
 
When you run out of rope; grab onto faith.......... T.B Joshua
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.​

Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?
 
Pole kaunga ni mapema mno kuchanganyikiwa,jifungie chumbani lala ukiamka wote / yote yapo sawa
 
Kaunga !!!! yepi yamekusibu tena, unamuachilia baba watoto hvhv baada ya kumvumilia kote hukooo????
Au uko kwenye hali ya ngumu kumesa tamu kutema??? Pole sjui hata nikushaurije...........
 
Last edited by a moderator:
kwanza hutakiwi kutoka kabisa...unaweka mguu mmoja nje....

mwingine ndani....

then kisirisiri unatest na huku.....sasa ukiwa unatest usizame huko.....

kisha weka kwenye mizani....

chagua kwa kutumia akili na si kwa kutumia moyo wako....

alamsiki jamani
 
Wewe kweli ni risk taker hahahaaah!!
 
Naona wengi wanashangaa Kaunga kutoa uzi kama huu lakini kwakuwa yeye ni mwanajamii na mwanafasihi ambaye lengo la uzi wake ni kuielimisha jamii. Kaunga amefanya sahihi kujisemea yeye hata kama siyo yeye kuliko wale ambao hujifanya wametumwa na rafiki zao kuleta uzi hapa. Hongera mtoa mada bibie Kaunga
Kaunga nawe haya mambo kumbe yanakubabaisha....!

Kaunga !!!! yepi yamekusibu tena, unamuachilia baba watoto hvhv baada ya kumvumilia kote hukooo????
Au uko kwenye hali ya ngumu kumesa tamu kutema??? Pole sjui hata nikushaurije...........

Siku zote najuaga Kaunga hubabaishwi kweli mganga hajigangi

mnhhhhhhhhhh...........
 
Kuna mtu kaniambia hivi:
"never say goodbye if you still want to try, never give up if you feel you can go on, never say you dont love a person any more if you cant let go"
 
Mmh, complicated aisee

Hizi 'semi' zinatumika kwa mazingira tofauti, ukitaka kuziweka pamoja hivi lazima urukwe na akili.

Ya kwanza inatumika pale unapokuwa huoni umuhimu wa mtu, siku akiondoka ndo unajua umuhimu wake 'the silence tells you he is gone'

Kwa usemi wa pili, ni pale unajiona umekamilika, hina haja na mtu, cha kushangaza from nowhere anakuja mtu na anayafanya maisha more interesting.

Ila ukiziweka pamoja zitaleta kachumbari.

Lakini si huwa mtu anakijikuta katika situation kama hii; na hujikuta KACHANGAYIKIWA!
 
kwa maneno haya inaonesha ushapata muafaka wa mada tajwa
Kuna mtu kaniambia hivi:
"never say goodbye if you still want try, never give up if you feel you can go on, never say you dont love a person any more if you cant let go"
 
Mwingine kasema hivi:
"giving someone all your love is not an assurance that they love you back; don't expect love in return just wait for it to grow in their heart but if it doesn't; be content that it grew into yours"

nafikiri hii sun wu anakubaliana nayo!
 
Last edited by a moderator:
pole sana Kaunga ila mi naona ule usemi wa mwanzoni ndio wa maana zaidi,dont' u ever try to loose what you have for the sake of what you don't have and you think that it's good.ulicho nacho wakijua mapungufu na mazuri yake je hicho usichonacho unakijua vizuri?and always the first is the best.
 
Last edited by a moderator:
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.​

Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?

Moja, inaelekea hujui ni unataka na kwa nini. Unajua fika kuwa kila siku ni mpya, inakuja na mambo mapya na watu wapya wazuri zaidi ya wajana. Sasa utalet go wangapi dunia hii ya kufukuziana kila siku?
 
Back
Top Bottom