sun wu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,020
- 1,432
mi naona hapa Kaunga hajielewi otherwise angeongea akiwa nje?
ndo maana kwangu mimi ningemshauri aanze upya bila kuangalia yeyote hapo
yupo mtu,unaogopa kwenda kwa mwingine? how sasa?
Wanasema Once Bitten Twice Shy...., Nadhani asilimia 90 ya watu waliopo kwenye mahusiano (ambayo sio arranged marriage) wengi wao walianza vizuri na watu walikuwa wanaficha makucha na kujifanya watakatifu.., sasa huoni kama yule uliyenae sasa hapo kale alikuwa mtakatifu.., akija mwingine mtakatifu utasita kwenda haraka ukidhani kwamba huenda na huyu ni msanii ?