Ninachanganyikiwa!

Ninachanganyikiwa!

hata Mokoyo naye anakubaliana nayo
Mwingine kasema hivi:
"giving someone all your love is not an assurance that they love you back; don't expect love in return just wait for it to grow in their heart but if it doesn't; be content that it grew into yours"

nafikiri hii sun wu anakubaliana nayo!
 
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.
​

Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?

Hapo kwenye bold labda niseme kwamba "you don't know he/her is important until you loose",
When you looe ndo unatambua umuhimu wake kwani unaanza kuyaona mapungufu kadha wa kadha ambayo ulivyokuwa nae haukuyaona kutokana na uwepo wake, hivyo akaweza kuyaziba yale mapengo ambayo kwasasa yanaonekana.

Tukija kwenye swali lako "Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?".

Hapo nadhani itakulazimu uyachakachue mawazo ako na kufanya uchunguzi wa kina kwa huyo ajea na huyo unayetaka kumuacha.

Jiulize je, ni nini hasa ninachokitaka kukipata kwa huyu ajae ambacha huyo nimwachae hana,
je kinaweza kutibika/kukiboresha ili tu nisiiweze kumwacha niliye naye kwa sasa.
 
"amani ya kristo na iamue moyoni mwako" fuata moyo wako
 
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.​

Kweli kabisa, lakini hapa it depends if what you have makes you happy, then at least stay/stick with it because even if you might be missing something (which you don't know) you also don't know what baggage that other something is coming with...

Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?

If you are not happy (at least if you was happy before he came and now you are unhappy..) then just leave him not because you expect to get someone better but because you can't stand him and you are better off alone.., because its a gamble... huyo anayekuja huenda akawa worse or better (its a gamble)...
 
Mwingine kasema hivi:
"giving someone all your love is not an assurance that they love you back; don't expect love in return just wait for it to grow in their heart but if it doesn't; be content that it grew into yours"

nafikiri hii sun wu anakubaliana nayo!

Kweli kabisa.., and I once said the easier way to find true love.., is to find someone who loves you dearly and care for you.., then learn to love them (even if you don't love them at that particular point) I do believe that people can learn to love someone.., and its easier for you to learn to love than expect them to learn to love you..
 
Kweli kabisa, lakini hapa it depends if what you have makes you happy, then at least stay/stick with it because even if you might be missing something (which you don't know) you also don't know what baggage that other something is coming with...



If you are not happy (at least if you was happy before he came and now you are unhappy..) then just leave him not because you expect to get someone better but because you can't stand him and you are better off alone.., because its a gamble... huyo anayekuja huenda akawa worse or better (its a gamble)...

Happiness ndio kipimo. Thanks mkuu but angalizo:-
"When the door of happiness closes another opens but oftentimes we look too long at the closed door that we don't see the one which has been opened for us"
 
Kuna mtu kaniambia hivi:
"never say goodbye if you still want to try, never give up if you feel you can go on, never say you dont love a person any more if you cant let go"

Maneno tu hata kwenye kanga yapo!

Ukishaanza ku-doubt jua kuna walakini!!!!!:fear:
 
Wanaojifanya very strong outside
ndio ambao very weak inside

Uko sahihi kwa asilimia mia hapo The Boss.. Ninachomshauri Kaunga maamuzi yote yanayohusiana na mahaba muhusika hasukumwi na ushauri anaopewa.. anasukumwa na matamanio ya moyo wake.. "Follow ur heart" ni msemo maarufu ku-justify hiki nimuambiacho bibie Kaunga.. Awe makini tu asije akakanyaga kifaranga kwa ajili ya kuokota yai.. Linaweza kuwa viza..
 
True love is within you,even if someone shows you true love but if u dont realize it is nothing
 
Happiness ndio kipimo. Thanks mkuu but angalizo:-
"When the door of happiness closes another opens but oftentimes we look too long at the closed door that we don't see the one which has been opened for us"

Very true.., ukiona kwamba sasa furaha haipo.., yaani ni better off ukiwa mwenyewe, hapo ni bora kuondoka, hata kama hakuna another happiness door in sight, sababu unajua sometimes mtu sio tu kukosa furaha, bali kukaa na mtu he/she consumes you.., nadhani better indicator ni kujiuliza (am I better off myself than with him/her), sababu ukiangalia every rose has got thorns... and the trick is as they say....

"Instead of complaining that the rosebush is full of thorns, be happy that the thorn bush has roses" . Na kwa msemo huo unaonyesha uvumilivu.., ila kuna vitu havivumiliki na ikifika hio stage nadhani kuondoka is a wise choice
 
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.​

Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?

Mapenzi ni kama kutafuta nyumba ya kuishi..
kuna nyumba unaitazama tu unasema hapa hapa
nyingine ni nzuri but unajikuta tu unaona ahh hapa sipataki...
 
Kaunga wewe .. Kama nakuona unavyotaka kuruka majivu uanguke kwenye moto lol.

Hakuna mkamilifu, hivyo basi unakotaka kwenda unaweza kupaona ni bora sana coz ni kipya kinyemi. But kibaya ni kuwa haujui upande mwingine wa shs wa huko uendako.

La muhimu ni kujiridhisha kabisa kuwa hapa nilipo nimeshindwa na mapungufu ya huyu mtu hayabebeki.

USIFANYE MAJARIBIO lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Uko sahihi kwa asilimia mia hapo The Boss.. Ninachomshauri Kaunga maamuzi yote yanayohusiana na mahaba muhusika hasukumwi na ushauri anaopewa.. anasukumwa na matamanio ya moyo wake.. "Follow ur heart" ni msemo maarufu ku-justify hiki nimuambiacho bibie Kaunga.. Awe makini tu asije akakanyaga kifaranga kwa ajili ya kuokota yai.. Linaweza kuwa viza..

Nimependa sana hapo,

Ila kama akijiridhisha pasi na sahaka kwamba hilo yai lake jipya litampa super chick, basi anaweza kulikimbilia kwa gharama yoyote na kuliatamia....

Siku dunia ikiisha risk tutakuwa na sisi sote tumekwisha...

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom