Ninaanza kuwa na chuki na Mzee Mwanakijiji!

huyu mwanakijiji dawa yake ni kupigwa mtungo hadi sungilo pulu litoke nje!
 
ccm huu ndo mwixho wa xafar yao
xo letx us gv ukawa authority of driving us no matter they hv exeperience or not..!!
 
Niseme ukweli nilikuwa napenda kufuatilia makala zake zenye kufundisha! Lakini baada yakununuliwa na CCM amekuwa mpofu aoni wala asikii, ila niulize amelipwa bei gani??Maana hakuna anachoweza kuandika bila kumtaja wala kumshambulia Lowassa ningeona anamantiki pale angeshambulia upinzani UKWA etc, kuliko kushambulia mtu binafsi!maana anachokisema nisawa na mtu aliyetahayuri!Lowassa katokea CCM nizao la CCM, nasasa kaamua kuokoka na kufatana nawalokole wenzake! Nini dhambi yake?? CCM bado wanamuona niyule wakwao wa zamani! Mzee Mwanakijiji unaheshimika sana humu na makala yako yanapendwa hila hili la kila siku unakuwa kama Mange Kimambi unaonekana wewe ndiye mwenye kupoteza weledi wako.
Mbona sisi CCM hatuna chuki na fisadi mwizi aliyejinyea lowasa. Mbona nyie mnawashwa sana na mashabiki wa CCM. Mbona mchawi kingunge wala hatumuongelei wala hatuja mtisha kumuua kama nyie chadema mnavyotaka kumuua Dr Slaa. Kwa ufupi hamuna hoja na fisadi lenu lowasa, ndiyo maana lilijinyea na kujinyea ili mpate kazi ya kulisafisha
 
Tulia dogo... Mzee Mwanakijiji alimponda Lowassa kabla hajaja Chadema na ataendelea kumponda popote alipo. Wewe umekubali kumpokea Lowassa simply because amebadili uanachama. Hajawai kumtaja owner wa Richmond wala hajawai kukemea ufisadi alafu unasema ameokoka. That is plain silly!

kama ingetokea Lowassa kapitishwa na CCM, hao wanaomponda Mzee Mwanakijiji wangekuwa wa kwanza kumpa pongezi. Tatizo watanzania hutuangalii hoja za mtu. Tumegubikwa na ushabiki wa kisiasa.
 
mkuu, kumshambulia mtu mmoja tu wakati kuna mafisadi lukuki ni chuki isiyo na kipimo. Utadhani lowassa kamwibia mke. Khaaa

mafisadi ni kweli wako wengi lakini mwenye madhara makubwa kwa taifa ni mmoja
 
ccm huu ndo mwixho wa xafar yao
xo letx us gv ukawa authority of driving us no matter they hv exeperience or not..!!

Mh.!!!! hii elimu ya sasa ni tatizo, sijui walimu wapo kwenye mgomo baridi.
 
Mavi ya kale hayanuki.Mmkijiji ni pooza lililopoza ni wa kupuuzwa.
 
Niseme ukweli nilikuwa napenda kufuatilia makala zake zenye kufundisha! Lakini baada yakununuliwa na CCM amekuwa mpofu aoni wala asikii, ila niulize amelipwa bei gani??Maana hakuna anachoweza kuandika bila kumtaja wala kumshambulia Lowassa ningeona anamantiki pale angeshambulia upinzani UKWA etc, kuliko kushambulia mtu binafsi!maana anachokisema nisawa na mtu aliyetahayuri!Lowassa katokea CCM nizao la CCM, nasasa kaamua kuokoka na kufatana nawalokole wenzake! Nini dhambi yake?? CCM bado wanamuona niyule wakwao wa zamani! Mzee Mwanakijiji unaheshimika sana humu na makala yako yanapendwa hila hili la kila siku unakuwa kama Mange Kimambi unaonekana wewe ndiye mwenye kupoteza weledi wako.

Mwanakijiji ana haki ya kutoa maoni yake dhidi ya Lowassa kama vile wewe ulivyo na haki ya kutoa maoni yako kumfagilia Lowassa.
Ndiyo demokrasia na usione uchungu watu kutoa maoni yao kwa uwazi hata kama yanapingana na yako.
Kumbuka, hata wewe pia kuna watu hawapendi kusikia maoni yako lakini wanakuvumilia na kujumuika na wewe.
 
Last edited by a moderator:
Niseme ukweli nilikuwa napenda kufuatilia makala zake zenye kufundisha! Lakini baada yakununuliwa na CCM amekuwa mpofu aoni wala asikii, ila niulize amelipwa bei gani??Maana hakuna anachoweza kuandika bila kumtaja wala kumshambulia Lowassa ningeona anamantiki pale angeshambulia upinzani UKWA etc, kuliko kushambulia mtu binafsi!maana anachokisema nisawa na mtu aliyetahayuri!Lowassa katokea CCM nizao la CCM, nasasa kaamua kuokoka na kufatana nawalokole wenzake! Nini dhambi yake?? CCM bado wanamuona niyule wakwao wa zamani! Mzee Mwanakijiji unaheshimika sana humu na makala yako yanapendwa hila hili la kila siku unakuwa kama Mange Kimambi unaonekana wewe ndiye mwenye kupoteza weledi wako.
Khaa!! KakaKiiza nakuona wa ajabu sana, na sisiti kukuita mjinga (Mjinga ni mtu asiyeelewa jambo Fulani) Mzee Mwanakijiji hajaanza jana wala juzi kusema ukweli kuhusu Lowassa kama kumbukumbu zako si sawa na za kuku. Uliwahi kumchukia Mbowe, Lema, Msigwa na Mnyika? Kama jibu ni ndiyo basi utakuwa wa ajabu kwelikweli :glasses-nerdy:
 
Kiukweli nilishaiambia akili yangu "mpuuze Mzee Mwanakijiji:" haangalii maslahi ya Taifa mara nyingi ni mbinafsi
anaangaliaga namna ya kuiburudisha nafsi yake tu
 
Khaa!! KakaKiiza nakuona wa ajabu sana, na sisiti kukuita mjinga (Mjinga ni mtu asiyeelewa jambo Fulani) Mzee Mwanakijiji hajaanza jana wala juzi kusema ukweli kuhusu Lowassa kama kumbukumbu zako si sawa na za kuku. Uliwahi kumchukia Mbowe, Lema, Msigwa na Mnyika? Kama jibu ni ndiyo basi utakuwa wa ajabu kwelikweli :glasses-nerdy:
Sasa wewe una akili kweli??unakuwa mpumbavu kiasi hiki wewe funza hampishani kwani unaona anamsema ka mantiki ipi maana anarudiarudia yale yale!Acha ungese uende mbinguni!
 
Nguvu ya fedha ni kubwa sana kuliko unavyofikiri kuna siku ungefikiri Dr Slaa angekuja kugeuka ?.

Ni kweli mkuu nguvu ya Fedha imeonekana dhahiri uchaguzi huu.Wengine wanasema ni 10bn.Anyways ni nani aliyebadilika kati ya Mzee Mwanakijiji na Chaggadema?
 
Unaogopa nini ndg,mbona unahofu sana? Mbona kila apondaye upande wake mnakuja juu? Msipende tufikiri nyie mnavyofikiri,,magamba wanawachukia kingunge,lowasa,mgeja,sumaye etc na magwanda mnawachukia slaa,mm, n.k
 
Back
Top Bottom