Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 972
- 1,163
fridge ambalo sio la solar inasukuma bila shida..?Solar 100w
Betri N200
Invetor 1500w
Vifungwe kitaalam ( yaani chaja kontroo iwepo)
sjakuelew bi mkubwa..Nawe kwa kitu hapa
Wat 1500 haiwrz kuhimili kwa vifaa alivyo navyoSolar 100w
Betri N200
Invetor 1500w
Vifungwe kitaalam ( yaani chaja kontroo iwepo)
nashukuru kaka! naomba ufafanuzi na gharama zake..Yaani hapo itakulazimu uwe na betri N 200 mbili ambazo utaziunga in series , na pia italazimika uwe na invetor heavy duty volt 24 yenye watt 8000 ,itakulazinu pia uwe SOLAR PANNEL WATT 300 AU 400 NAZO UZIUNGE IN SERIES ILI UPATE AMP KUBWA
Ndiyo, na unapotaka kununua hivyo, nenda na fundi uliyemuandaa kukufungia ,ili akisaidie kuchagua na kuandaa seti yenye uborafridge ambalo sio la solar inasukuma bila shida..?
Kazi ya inventor ni kubadilisha umeme wa DC kuwa AC kama wa tanesco, koo hapa unatumia kila kitu cha umeme wa tanescofridge ambalo sio la solar inasukuma bila shida..?
.jumla sh Milion 5
Haikusaidii sana, na huko samia na Mwigulu watakuja. Muhimu Katiba mpya. Maana wengine mnasema katiba haiwahusu, ona sasa implicationsNAHTAJI UKUBWA UPI WA SOLAR POWER KUWASHIA TV, KINGAMUZI, PASI,FRIDGE NA TAA 5 ? NSHACHOKA LUKU...😔😟☹️🥺
bro mi katiba inanihusu kunaga ubaga..Haikusaidii sana, na huko samia na Mwigulu watakuja. Muhimu Katiba mpya. Maana wengine mnasema katiba haiwahusu, ona sasa implications
ubarikiwebro mi katiba inanihusu kunaga ubaga..