Ninaanza kutumia solar badala ya umeme nyumbani

Yaani hapo itakulazimu uwe na betri N 200 mbili ambazo utaziunga in series , na pia italazimika uwe na invetor heavy duty volt 24 yenye watt 8000 ,itakulazinu pia uwe SOLAR PANNEL WATT 300 AU 400 NAZO UZIUNGE IN SERIES ILI UPATE AMP KUBWA
 
nashukuru kaka! naomba ufafanuzi na gharama zake..
 
Umeme wa solar ukitaka upate kwa raha weka pesa ndefu, nunua vifaa OG na ukiwa na ela ya mawazo huwezi vitakuwa vinaungua kila siku, mfano C controller ya VICTRON laki 4+, batry OG la unga sio la gari wala aboder N 150 4k inakata, ila aboder laki tu
 
We si unakimbia tozo sisi tutakuibia hiyo solar!
Tulipeni tozo jamani nchi yetu hii..😄
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom