Nina uraibu wa wanawake age go

Nina uraibu wa wanawake age go

aiii tunafanana tatizo jinsia uwih🤸‍♀️,, wababa kuanzia 40 alf smart ananukia huwa,naishiwa pawa upendo wao huwa sio wa kubahatisha😝 unatritiwa kama ka princess vile🤗,, nilijaribu maramoja nikapagawa mazima
😂😂😂😂
 
niende moja kwa moja. mabinti wengi wana matumbo flat, wamekaukiana, ngozi na makalio magumu, hawana usoft wa kutosha, hawana mafuta, hawana makalio.

Sifa hizo tajwa kwangu sizitaki, wanawake wakubwa wana matumbo makubwa yana hang fulani kwa chini, halafu ni soft mno sijui ndo mnaita kitambi, yeah napenda hilo.

Pia wanawake wakubwa ni very soft.

Nimekuwa addicted kwa kuwa ni ngumu kupata mwanake wa sifa nilizotaja kwa binti wa miaka 25 au 30, so nalazimika kuwatafuta watu wazima kitu ambacho pia kinafanya nishindwe ku date na wasichana warembo.

Msaada wenu tafadhali

its an addiction, nimeona niweke wazi tu, id fake hizi jamani zinatunza heshima zetu sana
asanteni
Mental illness plus negativity plus dark psychology
 
Wake za watu ni Sumu,Acha Umalaya
 
Back
Top Bottom