Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,732
- 2,796
Ndio ..pia kuna bonasi ya urithi wa nyumba mbweni na nyingine oyterbay.tukaizunguke dunia si ndiwo🤗😝😆😆
Naongea kabisa na mwanasheria wangu abadili document za mirathi
Ndio ..pia kuna bonasi ya urithi wa nyumba mbweni na nyingine oyterbay.tukaizunguke dunia si ndiwo🤗😝😆😆
ulivyoanza kutaja habari za nyumba umenikosa babu🚶♀🚶♀️,, mi sipendagi misifa😆 na maneno tupuNdio ..pia kuna bonasi ya urithi wa nyumba mbweni na nyingine oyterbay.
Naongea kabisa na mwanasheria wangu abadili document za mirathi
Hao ndio ninaowataka😅sasa miaka 60 dah huko mbali😄
Heee kumbe😨 mbona tumewalegezea nyie ndi maringo mengi😁Nyie wanawake wa under 40 kuna kampeni huku ya kuwapga chini, tulegezeeni mashart mtaachwa
Na wanaume tukiamua ni hatari
itoshe kusema "MUNGU akupe hitaji la moyo wako kama bado haujapata"🤗🙃Hao ndio ninaowataka😅
Hitaji ka moyo wangu ni wenye pensheni yanakuja masikini🙆🏽♀️itoshe kusema "MUNGU akupe hitaji la moyo wako kama bado haujapata"🤗🙃
kasema anakaribia kustaafu sasa umri wa kustaafu si ndo 60huko auNimesema 60,70 hukooo..
Atachoambulia
Woohoo 💃🏽💃🏽Nimeshaandaa fungu lako mjukuu🤣🤣
Daaah, kweli “there is someone for everyone” 🤣🤣 wamama wanajikatiaga tamaa kumbe kuna kama hawa wanawaelewa.Sidhani kama ni Addiction
Hata mi Napenda saana wanawake wa hivyo yaani 40+ wenye Nyama laini ambazo zimeanza kushuka haswa nyuma ya mkono kwa juu kati ya kiwiko na Bega (Biceps Brachii) na kwenye mgongo.
Naamini hii ni ladha ambayo inapendwa na wanaume wengi (Kama wengine Wanavyopenda wembamba saana )
Unajikuta unapenda aina ya wanawake hao haswa ukiizoea na Mara nyingi inaweza kuwa kwenye ujana wako ulianza mahusiano na wanawake wa type hii au pia labda Ulidekezwa na kuwekwa karibu na wanawake wa aina hii kwa mfano mama yako hivyo ukajikuta akili yako inakuwa safe na ku enjoy kuwa na wanawake wa hivi.
Na Mimi naamini Hawa ni watamu saana yoyote ambaye hajawahi kujaribu ajaribu wanawake wa 40+ Mmhh hautorudi kwa watoto wadogo
Challenge ya wanawake wa 40+ wengi wanakuwa kwenye commitment zao au kama hawapo huko wengi wako depressed washapigwa saana matukio so wanakuwa very difficult
Na kama unatafuta mwanamke wa hivi kumuoa ni ngumu sana kumpata mi binafsi ni mwaka wa sita natafuta wa hivi kumuoa sijafanikiwa sio kwamba siwapati lakini wengi nao kutana nao Eidha wanasababu hizo mbili so tunashindwa kuendelea
Mnaowataka ni hao ila tupo sisi tunaovaa jinsi na jezi tunanukia fukuto la joto la mahangaikoaiii tunafanana tatizo jinsia uwih🤸♀️,, wababa kuanzia 40 alf smart ananukia huwa,naishiwa pawa upendo wao huwa sio wa kubahatisha😝 unatritiwa kama ka princess vile🤗,, nilijaribu maramoja nikapagawa mazima