Nina uraibu wa wanawake age go

Nina uraibu wa wanawake age go

πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈπŸ’“πŸ’“πŸ’“πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
okoka kijana njoo kesho ,kwenye mkesha hapa bagamoyo tutakuombea maan unahitaji maomb
 
Sidhani kama ni Addiction

Hata mi Napenda saana wanawake wa hivyo yaani 40+ wenye Nyama laini ambazo zimeanza kushuka haswa nyuma ya mkono kwa juu kati ya kiwiko na Bega (Biceps Brachii) na kwenye mgongo.

Naamini hii ni ladha ambayo inapendwa na wanaume wengi (Kama wengine Wanavyopenda wembamba saana )

Unajikuta unapenda aina ya wanawake hao haswa ukiizoea na Mara nyingi inaweza kuwa kwenye ujana wako ulianza mahusiano na wanawake wa type hii au pia labda Ulidekezwa na kuwekwa karibu na wanawake wa aina hii kwa mfano mama yako hivyo ukajikuta akili yako inakuwa safe na ku enjoy kuwa na wanawake wa hivi.

Na Mimi naamini Hawa ni watamu saana yoyote ambaye hajawahi kujaribu ajaribu wanawake wa 40+ Mmhh hautorudi kwa watoto wadogo

Challenge ya wanawake wa 40+ wengi wanakuwa kwenye commitment zao au kama hawapo huko wengi wako depressed washapigwa saana matukio so wanakuwa very difficult

Na kama unatafuta mwanamke wa hivi kumuoa ni ngumu sana kumpata mi binafsi ni mwaka wa sita natafuta wa hivi kumuoa sijafanikiwa sio kwamba siwapati lakini wengi nao kutana nao Eidha wanasababu hizo mbili so tunashindwa kuendelea
Hiyo ngozi kulegea na kuwa laini ni hatua za kuelekea kwenye uzee. Kama hiyo ndio sample inayokupagawisha, ukimuoa leo ni matumaini yangu miaka 10 ijayo utavumilia kupiga K yenye makunyanzi ya uzee
 
Daaah, kweli β€œthere is someone for everyone” 🀣🀣 wamama wanajikatiaga tamaa kumbe kuna kama hawa wanawaelewa.

Lamomy endelea kula maisha mahi, wa kufanana naye anasubiri uzeeke zeeke kidogo 🀣🀣
Basi hapo mambwa yananuna yakisikia mwenzao anatupenda mashangazi..!! 😹😹😹

Tena anisubiri mimi mshangazi wa mwaka wa mbele 😹 nimalizie malizie kuwatesa wana wa Israel kabla sijatulia rasmi tuchanganye tende na maziwa..!! πŸ€Έβ€β™€οΈ
 
aiii tunafanana tatizo jinsia uwihπŸ€Έβ€β™€οΈ,, wababa kuanzia 40 alf smart ananukia huwa,naishiwa pawa upendo wao huwa sio wa kubahatisha😝 unatritiwa kama ka princess vileπŸ€—,, nilijaribu maramoja nikapagawa mazima
Embu mtafute wa miaka 65 and above uone habari yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom