Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,892
- 36,287
Sina uzoefu na airtel, natumia voda ya 120k hii ni unlimited kweli na speed ni mpaka 30mbps, labda wenye uzoefu na airtel waje waseme.Ni kweli unlimited??
Speed ikoje maana wanasemaga unlimited af wanaweka speed low ili usimalize