Nina uraibu wa Internet

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,918
Naombeni msaada!!

Yaan nisipokua na bundle la internet naona maisha hayaendi,

Nipo radhi nisile mchana niweke MB.

Mwanzon nilikua naunga GB 22 za mwezi lakini baada ya wiki na nusu nimemaliza!! Yaan napoteza hela nyingi sana !

Kwa mwezi inakatika hata elf 70.

Inanirudisha nyuma sana.

Ushauri
 
huko mtandaoni unatizama nini kwani

Mara nyingi niko Youtube, Fb, kutazama video twitter,
IMG_4405.jpg

mfano hapo nimeunga mchana

pamoja na kudhibiti baadhi ya app lakini wap
 
Back
Top Bottom