Nina uraibu wa Internet

Nina uraibu wa Internet

Daaa we yaan elf 70 unakuja kuanzisha uzi kweli wewe kiazi
Ona dem wangu anatumia bando la milioni 3 kwa siku
F6cWLBbX0AAVqPX.jpg
 
Naombeni msaada!!

Yaan nisipokua na bundle la internet naona maisha hayaendi,
Nipo radhi nisile mchana niweke MB.
Mwanzon nilikua naunga GB 22 za mwezi lakin baada ya wiki na nusu nimemaliza!! Yaan napoteza hela nyingi sana !

Kwa mwezi inakatika hata elf 70.
Inanirudisha nyuma sana.

Ushauri
Mimi internet ni kitu cha muhimu sana imebidi nifunge unlimited maana kila siku nilikuwa naweza jiunga ya buku 4 na najibana bana. Sema mimi ni party ya vitendea kazi vya kazi
 
Kama unahitaji kutumia smartphone yako,futa hizo applications unazozitumia sana kwa wiki uone mana kuiacha na kama unatumia kutuma na kupokea data za binafsi ama ofisi itakua ngumu,
Ondoa apps then jipime

huwa naziondoa !!
nazidownload tena

tena hapo ndo siku ya kudownload natumia mb nyingi yaan naenda mbele nakurud nyuma
 
Mara nyingi niko Youtube, Fb, kutazama video twitter,
View attachment 2868839
mfano hapo nimeunga mchana

pamoja na kudhibiti baadhi ya app lakini wap
Internet ni hitaji la msingi kabisa, hiyo 70k unaweza kuunga unlimited ya airtel na wewe ufurahie maisha ya utandawazi.
Achana na bando za kupima!
 
Internet ni hitaji la msingi kabisa, hiyo 70k unaweza kuunga unlimited ya airtel na wewe ufurahie maisha ya utandawazi.
Achana na bando za kupima!

Ni kweli unlimited??

Speed ikoje maana wanasemaga unlimited af wanaweka speed low ili usimalize
 
Back
Top Bottom