Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,276
- 123,715
No hiyo sio bei halisi ya hiyo Router, hiyo ni kama security depositDuuh thats expensive. Ni kununua hicho ki moderm?
Router yenyewe ni around 600K huko
No hiyo sio bei halisi ya hiyo Router, hiyo ni kama security depositDuuh thats expensive. Ni kununua hicho ki moderm?
Yale mavideo ya kule FB yanakula kama mchwa.
No hiyo sio bei halisi ya hiyo Router, hiyo ni kama security deposit
Router yenyewe ni around 600K huko
SIshindi hata jf! Nakuja hapa nikiwa free au nikipenda mwenyewe! Nagusa you tube kidogo kucheki vitu Fulaniheeeh labda ushashinda jf tu ndo maana
Jf kumaliza Gb labda mwezi mzima
Tangu jana mpaka muda huu nimetumia mb 78 tu .
SIshindi hata jf! Nakuja hapa nikiwa free au nikipenda mwenyewe! Nagusa you tube kidogo kucheki vitu Fulani
Ila niseme ukweli jamii forum what's app na telegram ndio vinanifanya ninunue mbs!
NB: jf siezi acha
Mi sinaga muda wa kuangalia status! What's app yenyewe natumia kwa biashara tu!!bas ndo maana
lakin wasap na telegram kama unafungua status za video bundle inaenda
Unaenda duka la Airtel na kitambulisho cha NIDA na connection fee ni 270 kUnlimited ya airtel ya elfu 70 kwa mwezi unajiungaje ?
Naunga mkono hojaInternet ni hitaji la msingi kabisa, hiyo 70k unaweza kuunga unlimited ya airtel na wewe ufurahie maisha ya utandawazi.
Achana na bando za kupima!
Mtoa mada hiii hapa kazi kwakoView attachment 2868856
Unaenda duka la Airtel na kitambulisho cha NIDA na connection fee ni 270 k
Mtoa mada hiii hapa kazi kwakoView attachment 2868856
Unaenda duka la Airtel na kitambulisho cha NIDA na connection fee ni 270 k
Nimeona Dsm airtel wanagawa router bure ila ujiunge kwanza bundle ya 120 . Maoeneo mengi wanazo wanagawa ila uwe na tin ya biashara
Nimeona Dsm airtel wanagawa router bure ila ujiunge kwanza bundle ya 120 . Maoeneo mengi wanazo wanagawa ila uwe na tin ya biashara
Nikitulia siku, na Majini yangu yakiwa yapo rikizo nitaandika MAKALA fupi kuhusu 'DATA SAVING' kuna watu wanaharibu data bila wao kujua.. yaan ww data unayotumia kuperuzi exactly mfano ni Mb 20 ila Data ambayo imeyeyukia hewani ni mb 80 au zaidi.
Sasa kuna namna ya kuzuia uvujaji wa Data/Mb/bandwidth..
Na kila social platform ina namna yake ya uzuiaji apart from Enabling and disabling of data saver feature.. kuna namna ya matumizi ya hivyo vitu.
Hii uzuri muwe mpo wengi mmainunua mnachangishana hata 20k kila mtu.Mtoa mada hiii hapa kazi kwakoView attachment 2868856
Unaenda duka la Airtel na kitambulisho cha NIDA na connection fee ni 270 k