Nina uraibu wa Internet

Nina uraibu wa Internet

Nakupa njia 5, moja uza simu janja yako na ubaki na simu ndogo ambayo haiwezi ku-access internet ishi hivyo kwa miezi mitatu ili kufanya brain izoee new habit. Pili, jaribu kwa jitihada zako zote kuwa mbali na simu yako, kwa mfano kama unafanya kazi mbali na home jaribu kuiacha asubuhi na kuikuta utakaporudi, tatu replace the old habit by new habit kwa mfano nunua vitabu na uhakikishe unavisoma hadi vinaisha, ule mda uliokuwa unatumia kuscroll utumie kusoma sasa. Tano, tumia njia ya kuweka ratiba na bajeti tena kwa nidhamu ya hali ya juu, Kwa mfano jiwekee ni mda gani utakuwa unashika simu yako, ni kiasi gani cha vocha/mb utakazo tumia kwa siku, acha kutembea na chaja chajisha simu mara moja kwa siku.
Hizi zote zikishindikana, tumia njia ya pedro alonso, force kibabe kibabe, yaani huweki bando wala nini, fosi tu kwa kuwa mwili huwa unazoea new habit baada ya siku ishirini na moja utakuwa umezoea.
Xie Xie
 
Friedrich Nietzsche Mkuu acha kuangalia pornography. Mb 490 kwa wiki zinatosha kabisa

IMG_4406.jpg

pilau mkuu
 
Back
Top Bottom