Nina uraibu wa Internet

Nina uraibu wa Internet

Mi nielekeze ya youtube
fb hata uweke data saver mwendo n ule ule
YouTube ina data saver yake.. ila mie navyofanya ni kuzishusha video zangu za muhim nazotaka.. naziangalia nje ya mfumo yaan nadownload kbs (hii inapunguza ulaji wa data maana utapeleka mbele na kurudisha nyuma video bila kuliwa data) ukistream online data inaliwa maradufu.

Hii nyingine ndio kitaalam zaidi.

Unaend ktk settings pale unachagua video ije na resolution ndogo let's say 360/320p/380p badala ya kuiacha iwe AUTOMATIC. hii itashusha kiwango cha ubora wa video ila utaona vzr hasa ukitumia simu.

Nyingine ni kudisable AUTOPLAY iwe OFF.. hii haitiruhus video zijicheze zenyewe maana inaweza kuja video ambay huitaki.. na ikawa tyr ishakulia bundle.. sas zikija video 8 kwa siku umepoteza mb ngap?

Na vitu vingine vingi..
 
Naombeni msaada!!

Yaan nisipokua na bundle la internet naona maisha hayaendi,

Nipo radhi nisile mchana niweke MB.

Mwanzon nilikua naunga GB 22 za mwezi lakini baada ya wiki na nusu nimemaliza!! Yaan napoteza hela nyingi sana !

Kwa mwezi inakatika hata elf 70.

Inanirudisha nyuma sana.

Ushauri
Uninstall All social networks then you'll be alright.
 
YouTube ina data saver yake.. ila mie navyofanya ni kuzishusha video zangu za muhim nazotaka.. naziangalia nje ya mfumo yaan nadownload kbs (hii inapunguza ulaji wa data maana utapeleka mbele na kurudisha nyuma video bila kuliwa data) ukistream online data inaliwa maradufu.

Hii nyingine ndio kitaalam zaidi.

Unaend ktk settings pale unachagua video ije na resolution ndogo let's say 360/320p/380p badala ya kuiacha iwe AUTOMATIC. hii itashusha kiwango cha ubora wa video ila utaona vzr hasa ukitumia simu.

Nyingine ni kudisable AUTOPLAY iwe OFF.. hii haitiruhus video zijicheze zenyewe maana inaweza kuja video ambay huitaki.. na ikawa tyr ishakulia bundle.. sas zikija video 8 kwa siku umepoteza mb ngap?

Na vitu vingine vingi..

Big up mkuu
 
Mtoa mada hiii hapa kazi kwakoView attachment 2868856

Unaenda duka la Airtel na kitambulisho cha NIDA na connection fee ni 270 k

mkuu ni gharama sana kwakweli
IMG_4459.jpg
 
Back
Top Bottom