Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,034
- 2,657
You deserve an award!Acha kumfokea Mgonjwa please..kua na huruma basi na weka maneno ya faraja kwake..hujafa hujaumbika Kiongozi hatuijui kesho yetu
Here professionalism works!
You deserve an award!Acha kumfokea Mgonjwa please..kua na huruma basi na weka maneno ya faraja kwake..hujafa hujaumbika Kiongozi hatuijui kesho yetu
Yes!Hivi kumbe mtu anaweza kusense kufokea ata kwenye maandishi?
Kama wewe no boss sehemu fulani, naamini wafanya kazi wako wanafurahia uwepo wako/ubosi wako.paqwa Unashangaa eeh..kwako ajabu sanaAisee mbona ni jambo dogo
sana kujua hilo wala hutumii akili kubwa ni kwa akili ndogo sana ya mtoto wa 6 years akisoma maandishi yako anaelewa kua unafoka..anaelewa kua wewe ni mtu wa Visirani..anaelewa kua wewe ni mtu usiejali Maumivu wala Hisia za waliokuzunguka
Kwa taarifa yako sio kufoka tu tayari nishakusoma ww ni mtu aina gani kuanzia kwenye ngazi ya family yako..kazini/Ofisini na kwa Jamii kwa ujumla
Maandishi yana reflect Personality yako kwa Asilimia 100 kwa ufupi yanakuelezea Uhalisia wako jinsi ulivyo
Kama hauna cha maana cha kuandika ni busara ukanyamaza tu
Pooole sana kaka, hata hivyo you're a man!Ndiyo hivyo walinieleza baada ya kuzitoa na sikuwa na namna nipo hapa kuziulizia hizo artificial (Testosterone Replacement Therapy) kifupi TRT . Msaada tafadhari.
Ni mpumbavu huyo.Hakika wewe ni kiumbe wa ajabu.
Namshukuru muumba maana kukosa korodani pia kunaweza kukufanya kuwa na msongo wa mawazo,mpoteza kumbukumbu kwa haraka na mtu wa hasira za karibu.Pooole sana kaka, hata hivyo you're a man!
Unahekima na ustaarabu was hali ya juu. I pray for you Kaka!
My advice!!Nihilist Asante kwa kunielewa..dont try to use anything kuhusiana na sex energies sijui vidonge vya kuongeza nguvu za kiume..yaan don’t dare kama unahitaji kuendelea kupumua
Pole sana mkuu. MUNGU azidi kukutia nguvuNamshukuru muumba maana kukosa korodani pia kunaweza kukufanya kuwa na msongo wa mawazo,mpoteza kumbukumbu kwa haraka na mtu wa hasira za karibu.
SAWA Mkuu nakutumia soft copyNaomba utoe hivyo viini lishe ili nivitafute na kusaga mwenyewe kuokoa muda na gharama na pia iwe msaada kwa wengine wenye tatizo kama hilo
Lucas philipo Ahsante Mkuu nitafanya ivyo 🤍🙏My advice!!
Contact with him for more advise madam!!
Nimeona kupitia wewe kuna mengi atajifunza mgonjwa. Una maneno ya faraja na unaonekana wewe ni mtaalamu was afya/daktari.
Ahsante
Namshukuru sana MWENYEZI MUNGU..ahsante Mheshimiwa🤍🤗🤗🤗🙏Kama wewe no boss sehemu fulani, naamini wafanya kazi wako wanafurahia uwepo wako/ubosi wako.
You're a genius!
Soft copy Inahusu nin hiyoBado sijaiona
utaiona had ni i scanBado sijaiona
Itazalishiwa wapi wakati korodani zimeondolewa?Tafuta vyakula vinavyoongeza uzalishaji wa hiyo hormone uanze kula kwa wingi sana utaiboost na itaongezeka.
Hormones zinatengenezwa na chakula. Chakula ndicho kinaamua uwepo wa hormone fulani kwa kiwango sahihi si vinginevyo.Sasa vyakula bila engine ya kuzalisha hormone inakuaje...... Naona jamaa anahitaji hormone direct ila sio vitu vya kusaidia kuzalisha hormone maana mitambo si haipo ya uzalishaji
Sikia nikwambie. Chakula ndio source nzuri ya hormone unayotaka iwe very active mwilini. Kwa mfano wewe hebu tuambie ulaji wako umekaaje?!Asante kwa kunielewa
Mkuu naona ni Bora utoe muongozo hapa.Sikia nikwambie. Chakula ndio source nzuri ya hormone unayotaka iwe very active mwilini. Kwa mfano wewe hebu tuambie ulaji wako umekaaje?!
Unaweza kuta unakula vyakula vya hormone husika ila unaharibu kwa kula vyakula vinavyosuppress uzalishaji wa hiyo hormone at the same time life style yako unatabia ambazo zinasuppress pia rutuba ya hormones unazozitaka.
So nadhani jambo la msingi kuelewa ni kuwa dawa ni supplements tu na sio direct source ya kurutubisha hizo hormones unataka.
Yaani ni sawa uwe na upungufu wa Vitamin C au madini fulani mfano ya chuma then useme the only option ni kwenda pharmacy kununua Vitamin C and Iron mineral supplements eti ndio ziwe primary source za kurutubisha mwili wako badala ya kuwa boosters tu.
Nadhani vijana mnacheza na kitu kinaitwa NUTRITIONAL KNOWLEDGE, labda nikiandika English ndio italeta maana na uzito kwenye kunielewa.
Haya ndio matatizo ya kutokufanya somo la lishe kuwa somo basic kuanzia nyumbani hadi mashuleni.