Nina Swali, maoni tafadhali!!

mkuyati og

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
821
587
Wapendwa wenye uchungu na nchi hii, hivi ingekuwa vipi kama teknolojia ingeruhusu kumpiga risasi mtu unayemuona kwenye television na kumuua kwa kupitia tv hiyo hiyo?? Hali ingekuwaje katika hizi wiki mbili zilizopita?! Sipati picha
 
Back
Top Bottom