Nina stress sana, ushauri unahitajika

Nina stress sana, ushauri unahitajika

Kila siku tunawaambia Mwanamke Kosaa helaa ndo utajuaaa balaa lakee... Hayo majibu kakupa sababu tu mlikwaruzana kisa PESAAAA... yaliwahi kunikutaa yani pesa ikiwepoo atakuwa na mahaba huyoo na huo ujinga haongei kabisa ilaa Pesa iishe sasa weeee...!!

TABIA YA MWANAMKE INAONGOZWA NA PESAAA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Solution

Punguza kukwaruzana nae. Tunapoambiwa tuishi nao kwa akili ndio maana yake mkuu, wakati mwingine unakubali hata mambo unayojua ni ya kijinga. Funika kombe mwanaharamu apite. Fahamu mambo yanayowazingua, kama unaweza kuyavumilia, wewe acha tu kama huwezi usijitese

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao ndio wanawake bwana wewe kijana.....dah bora mie nawachukuliaga kama chombo cha starehe stress hizi hazipo kabisaaa.

wewe muache alee mwenyewe unadhani mchezo bwana wewe kulea mtoto peke yako.
 
Kila siku tunawaambia Mwanamke Kosaa helaa ndo utajuaaa balaa lakee... Hayo majibu kakupa sababu tu mlikwaruzana kisa PESAAAA... yaliwahi kunikutaa yani pesa ikiwepoo atakuwa na mahaba huyoo na huo ujinga haongei kabisa ilaa Pesa iishe sasa weeee...!!

TABIA YA MWANAMKE INAONGOZWA NA PESAAA...

Sent using Jamii Forums mobile app

nimeisoma hiyoooooooooooooooooo
kweli kaisa mwanawane wanawake ukishakosa mapenez shida baba shida tuu. hawa sio wakuwapenda maana utalia wewe mwishowe. wakugegeda tuu na kutupa kule.
 
Demu ameshakuona wewe boya, muoga na unajipendekeza basi atakupelekesha mpaka basi. Yaani unaambiwa fanya yako bado tu unamung'ang'ania dah!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeisoma hiyoooooooooooooooooo
kweli kaisa mwanawane wanawake ukishakosa mapenez shida baba shida tuu. hawa sio wakuwapenda maana utalia wewe mwishowe. wakugegeda tuu na kutupa kule.
Haa ha ha...!! sasa tafutaa helaa kuachaa sio jibuu... utaacha wangapi??? hela ikiisha wana maneno ya shomboo balaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake wajanja sana yn kila anachofanya huwa kina maana yake

unaweza mkuta na mwanaume akasema cousin hapo anakujibu ya moyoni kabisa ila wewe unajipa imani ni mimba tu mim nilikuwa n dem jeur anasingizia ana majin jamaa angu akanitonya huyo dem ndo alivyo piga chini

huyo dem pigaaaaa chini tena iyo mimba sio yako yn kesi km hii unaleta humu huo ujasiri wa kumpa mimba ulitoa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haa ha ha...!! sasa tafutaa helaa kuachaa sio jibuu... utaacha wangapi??? hela ikiisha wana maneno ya shomboo balaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app

yaani mie jambo moja ambalo sitaki maishani ni kupewa strress na mwanamke....yaani kusaka pesa kunanipa stress na mwanamke nae pia a nipe stress...hapana hiyo sikubali. akizingua tuu wala hamna story mingi nabadilisha tuu. wanawake wapo kibao duniani ya nini nikae nakubembeleza.
 
huyu hajibu sms wala kupokea simu inakuwaje? niendelee kunyenyekea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kutuma as if nothing happened! After all hiyo ni kwa faida ya mahisiano yako na mtoto kwa siku za baadaye. Hivyo anavyofanya ni kawaida maana si ajabu analazimisha umuoe na alikulengeshea. Kama ni hivyo, hicho ni kiboko anakutandika. Vumilia tu kila siku tuma ujumbe wa kumjulia khali asubuhi mchana na kabla hujalala. Akishajifungua nawe lipiza kwa kumuignore
 
Tabia yake ni hii hii tangu kabla ya mimba mwaweza weka appointment ya kukutana sehemu fulani, akifika tu anakuambia me naondoka, yaani ni mwepesi wa kugeuza njia, kuna kipindi tulikorofishana ndani ya week akaanzisha mahusiano mapya na watu wawili
Hana maaana,kama ni hivyo,na nakuuu maneno ya mtu humu ndani amesema Kiranga komo na Mimi nasema hicho Kiranga komooooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia yake ni hii hii tangu kabla ya mimba mwaweza weka appointment ya kukutana sehemu fulani, akifika tu anakuambia me naondoka, yaani ni mwepesi wa kugeuza njia, kuna kipindi tulikorofishana ndani ya week akaanzisha mahusiano mapya na watu wawili
Kama kabla ya mimba hakufaii huyooo...!! piga chinii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom