Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,434
Mkuu Inawezekana siyo mimba yako fanya utafiti
Naogopa kuendelea maana hii mida siyo mizuri!! Naweza kuota najilowanisha boxer
Utaleta nikufulieNaogopa kuendelea maana hii mida siyo mizuri!! Naweza kuota najilowanisha boxer
Sent using Jamii Forums mobile app
You know what I'm talking about! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh yes.. ha haaYou know what I'm talking about! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kakusingizia mimba nafsi inamsuta. Mkikwaruzana anajua unashtikia issue. Watu wengi wamelea watoto ambao sio wao unakuja kunyanganywa mtoto kashakua. Alizaliwa ukapume DNA vinasaba ili kuepusha kilio kikubwa hapo baadae kwasababu kama hili linakupa stress sasa je ulee na kusomesha alafu baba yake ndio anajitokeza siutakunywa sumu weweHabari za wakati huu.
Ninaandika hapa nikiwa na msongamano wa mawazo mengi, huyu mwanamke ambaye ni mpenzi amekuwa akinipasua kichwa sana, ni mwepesi wa kubadili maamuzi bila kufikiria kuwa ni kiasi gani inaweza kutugharimu.
Ana ujauzito wangu ila kila tutakapokwaruzana anakimbilia kusema atalea mwenyewe hahitaji msaada wangu wala hanitegemei sana, nikitaka nijitoe tu, sasa nabaki na maswali, mwanangu nahitaji tumlee pamoja wazazi wake wawili, ikiwa nina mpango wa kumuoa nije kuishi naye, ila najiuliza sana kama tutafika mwisho wa safari, ili yeye aendelee kuwa na mimi inanilazimu nimnyenyekee sana, hebu nishaurini wakuu nifanyaje maana nahisi kuchanganyikiwa.
UPDATE; Comment number 5 nimeweka screenshot ya maongezi.
Sent using Jamii Forums mobile app