K-wire
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 278
- 288
Subiri ajifungue Kisha mambo yatakuaje mazuri hiyo ni mimba ndio inameumbua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona kam nakufham??Habari za wakati huu.
Ninaandika hapa nikiwa na msongamano wa mawazo mengi, huyu mwanamke ambaye ni mpenzi amekuwa akinipasua kichwa sana, ni mwepesi wa kubadili maamuzi bila kufikiria kuwa ni kiasi gani inaweza kutugharimu.
Ana ujauzito wangu ila kila tutakapokwaruzana anakimbilia kusema atalea mwenyewe hahitaji msaada wangu wala hanitegemei sana, nikitaka nijitoe tu, sasa nabaki na maswali, mwanangu nahitaji tumlee pamoja wazazi wake wawili, ikiwa nina mpango wa kumuoa nije kuishi naye, ila najiuliza sana kama tutafika mwisho wa safari, ili yeye aendelee kuwa na mimi inanilazimu nimnyenyekee sana, hebu nishaurini wakuu nifanyaje maana nahisi kuchanganyikiwa.
UPDATE; Comment number 5 nimeweka screenshot ya maongezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu sio mimi, niko mbali sana na mtwaraMkuu mbona kam nakufham??
Kuna mshkj wangu katoka kunipa stor kam iyo nusu saa ilopita ,kasem nimshauri na yupo mtwara
Vip ni wee?
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo ni fumbo mkuu
Poa san ,stor zenu mnafanana kila kitu yaan,Hapana mkuu sio mimi, niko mbali sana na mtwara
Daah haya mambo yanachanganya kidogo, sasa hapo waweza kataa na ukaruka kumbe mimba ni yakoPoa san ,stor zenu mnafanana kila kitu yaan,
Ila frsh maish kufanan tu kwan hamn kipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za wakati huu.
Ninaandika hapa nikiwa na msongamano wa mawazo mengi, huyu mwanamke ambaye ni mpenzi amekuwa akinipasua kichwa sana, ni mwepesi wa kubadili maamuzi bila kufikiria kuwa ni kiasi gani inaweza kutugharimu.
Ana ujauzito wangu ila kila tutakapokwaruzana anakimbilia kusema atalea mwenyewe hahitaji msaada wangu wala hanitegemei sana, nikitaka nijitoe tu, sasa nabaki na maswali, mwanangu nahitaji tumlee pamoja wazazi wake wawili, ikiwa nina mpango wa kumuoa nije kuishi naye, ila najiuliza sana kama tutafika mwisho wa safari, ili yeye aendelee kuwa na mimi inanilazimu nimnyenyekee sana, hebu nishaurini wakuu nifanyaje maana nahisi kuchanganyikiwa.
UPDATE; Comment number 5 nimeweka screenshot ya maongezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unampoteza mwenzako, wanawake qa siku hizi sio wa kutreat hivyo.. Yeye amwambie tu kama hataki poa, alafu mwenyewe ataenda kulalamika kwa wazazi wake then baada ya hapo ndo mnakaaa chini mnayajenga maisha yanaendeleaMimba zinawavuruga hawa viumbe sometimes. Just be gentleman. Akiongea shit, mrushie vocha, halafu muulize umeipata mke wangu? Nakupenda sana.
Sasa mkuu niipokee nisiipokee maana sielewiusikute hiyo mimba si yako, unachangia na mwingine na ndiyo maana anakuambia anayokuambia.
Chukua maamuzi magumu kidogoDaah haya mambo yanachanganya kidogo, sasa hapo waweza kataa na ukaruka kumbe mimba ni yako
jana tu nimemkaushia kanitafuta asubuhi anasema amesahau ya jana.Chukua maamuzi magumu kidogo
Mkaushie kwanza kwa mda kidogo zena atakutafuta tu,na asipokutafut wew mcheck uone kam kuna mabadiliko
NB: YAKUAMBIWA CHANGANYA NA YAKO,,,akili yako ndo serikali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Huyo dem anataka achukue advantage ya Mimba akuendeshe, mwambie maneno hayo asirudie tena na kama akirudia mwambie poa iwe hivyo, Yeye mwenyew ataanza kulalamika either kwako au kwa wazazi wako then hapo ndo mnakaa chin mnazungumza mtaishi fresh tuSasa mkuu niipokee nisiipokee maana sielewi
Basi apo nazan ushapata majibu ya kutosha unadate mtu wa aina ganjana tu nimemkaushia kanitafuta asubuhi anasema amesahau ya jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu niipokee nisiipokee maana sielewi