Nina stress sana, ushauri unahitajika

Nina stress sana, ushauri unahitajika

awali ya yote mkuu pole kwa hayo,
naomba historia fupi ya mchumba wako, kabla ya mimba ali kuwa na tabia za namna hiyo na mabo mengine ya tabia maana tunaweza sema hakufai kumbe hasira anapata kutokana na ujauzito huo, historia itasaidia mkuu
Tabia yake ni hii hii tangu kabla ya mimba mwaweza weka appointment ya kukutana sehemu fulani, akifika tu anakuambia me naondoka, yaani ni mwepesi wa kugeuza njia, kuna kipindi tulikorofishana ndani ya week akaanzisha mahusiano mapya na watu wawili
 
Mkuu kwa hili lisikuumize kichwa bora hata wewe vichangamoto vidogo hvi mi aliwahi nichukia nikiwa mbali ananimis nikirudi tu daa kuingia ndani no mara mafuta ulopaka siyapendi usiingie ndani lakini nilivumilia mpaka akajifungua na maisha yakaendelea so take it easy asee huwa wanavurugwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka kakubali kukubebea mimba, anakupenda. Namna utakavyo react kutokana na action zake, kunaweza kukapelekea mkaachana. Namna nzuri ya kuachana nae, subiri akishajifungua, hudumia kachanga, pima uelekeo. Ikiwa hali bado tete, tafuta mpango wa kando. Ukiona huko kuna afadhali, hamishia majeshi.
asante kwa ushauri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia yake ni hii hii tangu kabla ya mimba mwaweza weka appointment ya kukutana sehemu fulani, akifika tu anakuambia me naondoka, yaani ni mwepesi wa kugeuza njia, kuna kipindi tulikorofishana ndani ya week akaanzisha mahusiano mapya na watu wawili

Wote hao walitembea naye?
 
hapana, nimeamua kweli kuignore alee mwenyewe anavyotaka, maana siwezi force mambo.
Acha ujinga, usishindane na mwanamke utaumia wewe! Ukitaka kuachana na mwanamke unamtafutia kaburi anaingia unafukia! Ukijidai kumuacha atakutesa mpaka ujitie kitanzi (yashatutokea) hasa kama umezaa naye ni balaa. Jifanye mjinga hadi mtoto azaliwe. After all ni muda Krupp tu
 
huyu hajibu sms wala kupokea simu inakuwaje? niendelee kunyenyekea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia yake ni hii hii tangu kabla ya mimba mwaweza weka appointment ya kukutana sehemu fulani, akifika tu anakuambia me naondoka, yaani ni mwepesi wa kugeuza njia, kuna kipindi tulikorofishana ndani ya week akaanzisha mahusiano mapya na watu wawili
pole mkuu Mungu yu pamoja nawe
 
Sina uhakika kuhusu hilo ila aliniambia kuwa wako mbali, sina jibu sahihi maana huwa simuamini mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app

Makosa yalishafanyika, usiongeze kosa kwa kujipa stress za kuishi na mtu ambaye kakoenesha kwamba hakuhitaji tokea mwanzo. Unaweza kuendelea kumpa sapoti akijifungua mtalea, ukiona anasomeka unaweza kumchukua, ila ikiwa ataendelea hata baada ya kujifungua angalia sana.

Ingawa kwenye ile screenshot inaonekana ni kama umekataa kutambulishwa kwa wazee isipokuwa kwa kaka tu (kuna story upande wa pili).
 
Story ya upande wa pili ni complicated kidogo ila nahisi hanihitaji na mimi nimeamua nipotezee tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za wakati huu.

Ninaandika hapa nikiwa na msongamano wa mawazo mengi, huyu mwanamke ambaye ni mpenzi amekuwa akinipasua kichwa sana, ni mwepesi wa kubadili maamuzi bila kufikiria kuwa ni kiasi gani inaweza kutugharimu.

Ana ujauzito wangu ila kila tutakapokwaruzana anakimbilia kusema atalea mwenyewe hahitaji msaada wangu wala hanitegemei sana, nikitaka nijitoe tu, sasa nabaki na maswali, mwanangu nahitaji tumlee pamoja wazazi wake wawili, ikiwa nina mpango wa kumuoa nije kuishi naye, ila najiuliza sana kama tutafika mwisho wa safari, ili yeye aendelee kuwa na mimi inanilazimu nimnyenyekee sana, hebu nishaurini wakuu nifanyaje maana nahisi kuchanganyikiwa.

UPDATE; Comment number 5 nimeweka screenshot ya maongezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mwanamke wa aina hiyo hutakiwi kumnyenyekea. Huyu anataka akuweke chini yake. Mwambie kama vip pita hiv. Mwenyewe atarudi chini.
Ila nikwambie man hapo hauna mke kabisaa. Hauna mke.
Tafuta mwanamk mwenye kujielewa, sio mwanamke anaetaka kukuweka chini kila saa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom