Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Kwanza tujue....#1. kabla ya kupata mimba alikuwaje??? Siamini sana kwenye "Ohhh mimba inaweza ikamchukia mtu"and all that but dunia ni ya maajabu. Na #2. Umemfanya nini mtoto wa watu??
Ila kuwa muangalifu, usiruhusu hisia zako zikakutawala sana (it seems unampenda mno) kwasababu kuna uwezekano #1. Wewe sio chaguo lake. #2. Mimba sio yako na anajaribu kujiachanisha wewe.