Nina stress sana, ushauri unahitajika

Nina stress sana, ushauri unahitajika

Habari za wakati huu.

Ninaandika hapa nikiwa na msongamano wa mawazo mengi, huyu mwanamke ambaye ni mpenzi amekuwa akinipasua kichwa sana, ni mwepesi wa kubadili maamuzi bila kufikiria kuwa ni kiasi gani inaweza kutugharimu.

Ana ujauzito wangu ila kila tutakapokwaruzana anakimbilia kusema atalea mwenyewe hahitaji msaada wangu wala hanitegemei sana, nikitaka nijitoe tu, sasa nabaki na maswali, mwanangu nahitaji tumlee pamoja wazazi wake wawili, ikiwa nina mpango wa kumuoa nije kuishi naye, ila najiuliza sana kama tutafika mwisho wa safari, ili yeye aendelee kuwa na mimi inanilazimu nimnyenyekee sana, hebu nishaurini wakuu nifanyaje maana nahisi kuchanganyikiwa.

UPDATE; Comment number 5 nimeweka screenshot ya maongezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa yke ni kumto..mba hata km ni mjamzito..inatakiwa uwe unampiga miti
 
Kama ni mimi na mrekodi,

Halafu naendelea na maisha yangu,

Miaka 18 namtafuta mtoto wangu, akihoji upendo wangu kwake namsikilizisha rekodi

Kwa response yoyote ya mtoto kwangu, maisha yataendelea

After all nitakuwa na watoto wengine

Mdhaifubsana huyu binti anaweza kutoa mimba nisipokuwannae ukaribu.
 
Mkuu huyo mwache akae kwanza, akizaa tuu utaona atakavyobadilika. Anafikir kulea kazi nyepes kama kugegedwa.... Fuata ushauri wa kila anaekuambia mvumilie kwa kipindi hiki kigum kwake....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom