We ongeza tu matumizi ni nyakati hizi, ulichelewa kujifunza wnzi za Jakaya unataka ujifunze enzi hizi[emoji15] [emoji15]Habari jf...
Hapa nilipo am so stressed,nimejaribu njia kibao but still....
Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia...
Wale mnaotumia hii kitu inasaidia?? hata kwa muda tu...
I know time heals ila siwezi subiri,i just wanna be fine ndani ya muda mfupi...
enhe hiyo ina sura nzuri teh...nitaanza na hiyobas angalia na castle lite
haisaidii bado
hahahhh ulete mrejeshoenhe hiyo ina sura nzuri teh...nitaanza na hiyo
Tayari ushaanza tafuta ualimu hapa.Akiwa n watumiaji wastaarabu kama mimi wasi wasi aondoe
We ongeza tu matumizi ni nyakati hizi, ulichelewa kujifunza wnzi za Jakaya unataka ujifunze enzi hizi[emoji15] [emoji15]
Ningekushauri uanze na kiroba sasa siku hizo hamna,
Anaway watu wanaotegemea sana notea watakupinga sana, lakini ki ukweli pombe inakusaidia hasa kutoogelea kwenye dimbwi la mawazo nyakati za usiku, mchana usinywe, jichanganye na wana na uwe bize, lakini kwa ile mida ambayo unakua alone tupia kidogo usongizi ni kuvta kwa shuka,
Onyo, unapokunywa hii kitu epuka sana kampani za walevi, kunywa kwa niaba yako na inapendeza ukiwa unanywea home huku unasikiliza mziki taaraatibuu mpaka zinakukolea unajilalia
haha usijalihahahhh ulete mrejesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunywa tu mkuu, ukinywa stress zinaondoka, asubuhi ukiamka zipo
hivo hivo tuKunywa tu mkuu, ukinywa stress zinaondoka, asubuhi ukiamka zipo
sawaPombe inasaidia sana,nakushauri kwa kuwa ndo unaanza uanze na pombe laini kama mvinyo au beer inaitwa miller,au amarula
Pombe haiondoi stress Labda muvi, maseries ,na story zaweza kuondoa mamaa ,ama nene.... PoleeHabari jf...
Hapa nilipo am so stressed,nimejaribu njia kibao but still....
Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia...
Wale mnaotumia hii kitu inasaidia?? hata kwa muda tu...
I know time heals ila siwezi subiri,i just wanna be fine ndani ya muda mfupi...
Mnywaji ni anaekunywa kwa starehe tuu pale mambo yake yooote yanapomnyookea na kuamua kujipongeza,Wewe acha kusema walevi, sema wanywaji