Nina stress, nataka nianze kunywa pombe

Nina stress, nataka nianze kunywa pombe

Tena ukianza usinywe bia, ni chungu mno! Kula spirit tu, maisha swafi kabisa
 
Dah.... Ajabu sana.... Wengine hunywa pombe tukiwa tumepata faraja ya moyo ninyi mkiwa na "steles"[emoji15]
 
Usinywe bia haziondoi stress zinaongeza mikojo kunywa sprit zenye alcohol 40% na kuendelea, anza na chupa 2 siku ya kwanza.
Usisahahu kutuletea mrejesho
 
Usinywe bia haziondoi stress zinaongeza mikojo kunywa sprit zenye alcohol 40% na kuendelea, anza na chupa 2 siku ya kwanza.
Usisahahu kutuletea mrejesho
hivi smirnoff ni spirit?
 
Back
Top Bottom