Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,953
- Thread starter
- #61
haya niambie kwa kuanzia nianze na pombe gani?mm nakunywa nimeshajizoelea tofauti na ww ambae haujawahi kabisa na kama unajifunza sio kwa leo sbbu ya stress
haya niambie kwa kuanzia nianze na pombe gani?mm nakunywa nimeshajizoelea tofauti na ww ambae haujawahi kabisa na kama unajifunza sio kwa leo sbbu ya stress
hajawahi soma vizuri mada yakeHajasema hajawahi kunywa. Eti Scorpio me si ushawahi kuonja?
hahaHajasema hajawahi kunywa. Eti Scorpio me si ushawahi kuonja?
kunywa anza na Redds stress zitapunguahata kidogo kidogo tu nianze
unasubiri sana tuachane eh???Ukinywa utajiongezea shida, yule aliyekuzaba kibao kakuacha?
Pole.
Redds itakufaa dearhaya niambie kwa kuanzia nianze na pombe gani?
Sikushauri. Utaongeza tatizo badala ya kutatua.sio suluhisho,hata kwa muda???
kunywa anza na Redds stress zitapungua
sawa apart from redds nipe option nyingine ya mwisho,kwa kuanzia...kunywa anza na Redds stress zitapungua
usiulize yan.. hatar hatarnawe una stress???
hiyo inakufaa ww ambae ww unaanzasawa apart from redds nipe option nyingine ya mwisho,kwa kuanzia...
zinaleweshaYaani huwa nikiona mtu anakunywa redds alafu amelewa nashangaa sana
sawa dearhiyo inakufaa ww ambae ww unaanza
how?Itakuongezea stress
poleusiulize yan.. hatar hatar
bas angalia na castle litesawa dear