Nina stress, nataka nianze kunywa pombe

Nina stress, nataka nianze kunywa pombe

mi naomba kuuliza, kwa kuanza naweza anza na pombe gani ambay haitanfany nijute.. Maana daah
 
sana tu but ikiishaaa......ndio kisanga kinaanzaaa upyaa itabidii ufungashe mzinga wa konyagii incasee ukiwa ofisini unapiga kazi kidogo unashushia na nyagii
sawa tu bora nisahau kwa muda,kuliko muda mwingi uwe occupied na stress...
 
Back
Top Bottom