Abdallah M. Nassor
JF-Expert Member
- Mar 20, 2008
- 600
- 620
Karibu kwenye chama
ndo hapo sijajijua kama nikinywa ntakua mstaarabu au lah...Akiwa n watumiaji wastaarabu kama mimi wasi wasi aondoe
we inasaidia?njoo tupombeke tu mama hakuna namna mm pia niko na stress zangu chungu nzima hapaa hope itasaidia
pakoje huko?Karibu kwenye chama
hahhashartiii ni moja tu mama usinitoboe macho..... 🙂 🙂 we utakunywa mm nitalipia ...
Not really.haisaidii bado
ndo hapo sijajijua kama nikinywa ntakua mstaarabu au lah...
Kama huwezi kusema hadharani,,,basi nenda chemba,,,,mkuu shida zote unazozijua nimezibeba mimi,nikianza kuelezea hapa mtanichoka...
sana tu but ikiishaaa......ndio kisanga kinaanzaaa upyaa itabidii ufungashe mzinga wa konyagii incasee ukiwa ofisini unapiga kazi kidogo unashushia na nyagiiwe inasaidia?
ID yako hapo juu inanitisha mammiiiihahha
poleID yako hapo juu inanitisha mammiiii
ndo naulizaNani kakuambia pombe ndo solution ya stress
kamaHaya ni maisha yako,,,, na suluhisho sio pombeee,,,, zipo njia nyingi sahihi za kukusaidia