Baadhi ya mitazamo na ufahamu wa watu kuhusu upungufu wa nguvu za kiume

Kijana kijana

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,546
2,616
Habarini za usiku wakuu,natumai wazima.sipendi kupoteza muda naingia kwenye mada.

Nguvu za kiume ni nini?
Hili swali limekuwa lina majibu tofauti sana kutokana na mtu anayeulizwa ama yule aliyekumbwa na hali ambayo mwenyewe alikuwa anajua ndo upungufu wenyewe huo.

Baadhi ya mitazamo na ufahamu wa watu kuhusu upungufu wa nguvu za kiume ni huu.

1. Wapo wanaoamini kwamba upungufu wa nguvu za kiume ni kitendo cha uume kushindwa kusimama kabisaaaa hta mwanamke awe mbele yako akuchezee unashindwa kusimamisha kabisa uume.yani huyu jamaa legelege hasikii la mkuu.

Jee ufahamu huu ni sahihi?

2.Wapo wanaoamini kwamba upungufu ni kule mtu kwamba kusimamisha kwake mpaka ashikwe shikwe ndo hapo jamaa atasimama baada ya huko kushikwa shikwa lakini shoo anapiga vizuri tuu.

Je ufahamu huu sahihi?

3. Wapo wanaoamini kwamba upungufu ni kule mtu kuwa uume wake unasinyaa ndani ya uke au hata nje ya uke wakati wa tendo linaendelea na kabla hata hajamwaga,pengine uume uko ndani ya uke ila jamaa linalala(hapo sasa wazee wa kusindikizia vidole)

Je ufahamu huu sahihi?

4. Wapo wanaofahamu kuwa upungufu ni kule mtu akikojoa tu anashindwa kuendelea pale pale bao la pili(anashindwa kuunga)mpaka asubirie kila mmoja na muda wake ila wengi wanaoamini hivyo huwa ndo wale mpaka upite mda mrefu.

Je ufahamu huu sahihi?

5. Wapo wanaoamini kwamba upungufu ni kule mtu kuharakisha kukojoa mapema akiingiza tu wazungu hawa hapa alafu hakuna ladha alnayopata kama ambavyo tendo hilo lilivyokuwa na umaarufu wa utamu,wengine dk 1 wengine sec 30 wengine dk 2 n.k.

Je hii ni sawa?

6. Wapo ambao wanaamini kwamba upungufu wa nguvu za kiume ni mtu kuwa na manii chache ambazo hazina uzito kabisa mpaka mwenyewe anahisi ni hizi ni nyepesi,ukimwagia kwenye ngguo sekunde 30 tu yamekuwa kama maji.

Je hii ni sawa?

7. Wapo ambao wanaamini kwamba upungufu ni mtu kushindwa kupata mtoto ama kutungisha mimba wakati huo gemu anapiga vizuri sana,ina simama imara sanna lakini mtoto hana.anasema hana nguvu za kiume.

Je hii ni sawa?

8. Wanaume wa dar naskia wanasema kukosa hela ndo upungufu wa nguvu za kiume
Je hii nayo sawa?


Wakuu ni upi mtazamo sahihi zaidi kuhusiana na suala tajwa hapo juu?
Na ipi tiba ya kila suala ambalo ndugu mchangiaji unalijumuisha kama ni kukosa nguvu?


NB: bado shemeji yenu hajarudi ila kanimisi sana ananitumia nauli ukitimia mwezi tu niende nikampe show,na bado naendelea na program.

Asanteni
 
Kila mtu anatafsiri apendavyo.
Mimi mpaka sasa sijawahi kukutwa na tatizo la ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume. Na sidhani kama kuna watu wanamatatizo haya.
Ukiwasikiliza wahuni wa Kariakoo wakati wanapigia debe dawa zao waweza jihisi una tatizo.
 
Kwa ninavyo fahamu mimi, upungufu wa nguvu za kiume ni kitendo cha mwanaume kushindwa ku maintain an erection kumridhisha mpenzi wake. Yani mwanaume anakua hana uwezo wa kusimamisha mpaka mpenzi wake aridhike ndani ya dakika tatu anakua kamaliza na akimaliza haiwezi kusimama tena mpaka labda kesho yake tena.

Kwa kawaida mwanaume anaweza kufika kileleni mapema sana hata ndani ya dakika tatu, ila mwanamke ni kuanzia dakika 8 mpaka 20. Kwa hiyo inakuta mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume hawezi simamisha mda wote huu au kurudia tendo anapomaliza awamu ya kwanza.
 
Kwa ninavyo fahamu mimi, upungufu wa nguvu za kiume ni kitendo cha mwanaume kushindwa ku maintain an erection kumridhisha mpenzi wake. Yani mwanaume anakua hana uwezo wa kusimamisha mpaka mpenzi wake aridhike ndani ya dakika tatu anakua kamaliza na akimaliza haiwezi kusimama tena mpaka labda kesho yake tena.

Kwa kawaida mwanaume anaweza kufika kileleni mapema sana hata ndani ya dakika tatu, ila mwanamke ni kuanzia dakika 8 mpaka 20. Kwa hiyo inakuta mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume hawezi simamisha mda wote huu au kurudia tendo anapomaliza awamu ya kwanza.
Na ikiwa ana tatizo hilo huku anatoa manii Ilizo na afya na kapata watoto jee?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom