Nina raha jamani

Nina raha jamani

Vyote hivyo kama huna madeni Na pesa ulizo nazo sio za kukopa. By and By kwa nini usiwe na raha mtu? AVATAR yako says a lot. I am happy for you.
A happy woman is too satisfied with the present to dwell too much on the future

yani wewe huwezi kucoment bila kuongelea avatar yangu,umeiota eeh?
 
ooh una kumbukumbu,lazima ulikuwa unashika namba moja darasani

Si unajua nilimkaribisha yule dada Mbeya kwetu umalilani Santilia huko akagoma lakini niliona flag lako lilikuwa Arusha na ulikuwa mtu wa kwanza kuwaponda watu wa Dsm. Tupo pamoja, mchango tukumbushane ili mambo yazidi kunyooka siku ile ya leleleleee.
 
wanaume wa dar wa kazi gani??akhu tulizo la moyo huku kilimanjaro.
 
Raha ya dunia ni mambo matatu, ya kwanza ni afya, ya pili ni mali ya tatu ya kupendwa.Jamani nina raha mwenzenu mpaka nimeshindwa kunyamaza.Kupendwa raha jamani lol najihisi niko peponi.

Hivi wewe na Golden Mpoleee ni mapacha?
 
yani wewe huwezi kucoment bila kuongelea avatar yangu,umeiota eeh?

Avator nayo inasema zaidi, kiukweli avator yako ina mvuto sema umejiwekea mangao kila kona kwa hiyo mtoto huchukuliki wala kung'oleka hata kwa katapita zaidi ya dear wako ambayo amekufanya uwe na raha leo hii!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom