Nina raha jamani

Nina raha jamani

Avator nayo inasema zaidi, kiukweli avator yako ina mvuto sema umejiwekea mangao kila kona kwa hiyo mtoto huchukuliki wala kung'oleka hata kwa katapita zaidi ya dear wako ambayo amekufanya uwe na raha leo hii!!!!

my one and only
 
wanaume wa dar wa kazi gani??akhu tulizo la moyo huku kilimanjaro.

Ukitaka kuruka agana na nyonga, sijui kama umeagana nazo? Back to the topic, thread yako kama Subaru vil ipi barabarani a min ipo kule hongera mama naona furaha yako imepokelewa mikono miwili.
 
Ukitaka kuruka agana na nyonga, sijui kama umeagana nazo? Back to the topic, thread yako kama Subaru vil ipi barabarani a min ipo kule hongera mama naona furaha yako imepokelewa mikono miwili.

iko wapi tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom