Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #181
Nitonye haishi vituko hebu muulize alishahama nyumba aliyomkuta baba mwenye nyumba anakula mali zake huku hajafinga komeo bafuni?
Ntakujuza lakini hakun ubaya si ndiyo maisha.
keshaliona swali,tungoje majibu