Nina raha jamani

yaani kula hakataki kuoga balaa na kulala taabu daaah hebu kesho nikuachie nisije nikakaweka kwenye fridge mapema haya.....

nafurahi kusikia hivyo nilikuwa na wasi vile wine ilikuwa imepitiliza kwa mkichwa.....endelea kupata raha kama mamito hapo
Hehehe! Mimi ukiniachia kakinisumbua nakaacha kwa jirani hapo nyumba ya pili...

Sasa mie hapa niko peke angu, hiyo raha ntaipataje?..lol
 
Hehehe! Mimi ukiniachia kakinisumbua nakaacha kwa jirani hapo nyumba ya pili...

Sasa mie hapa niko peke angu, hiyo raha ntaipataje?..lol

hahahahaha ngoja nimwulize kaba daaaah nimekumbuka hebu mwone nitonye hapo jirani
 
Back
Top Bottom