Chotti de Alba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 348
- 106
Fanya hivi: ficha chet cha PhD, omba kazi halafu utapata. Ukishakuwa mzoefu kazini na ukawa na uhakika kuwa utendaji wako wa kazi watakuwa wameupenda, wape cheti cha PhD ila usiwadai maslahi zaidi, kama ni vipi watakufikiria wao wenyewe. Huwezi kupoteza kazi
Sidhani kama kuna chuo, taasisi au shule Ujerumani ambayo wanatumia lugha nyingine zaidi ya kijerumani.Kaka mbona mataasisi ya kijeruman bongo yapo kibwena umekosa hata huko maana mi washkaj waliosoma Ujerumani wapo GTZ,Goeth Institute etc washtue DAAD wakuunganishe kwenye projects na NGO za akina Rudi Voller au Kijeruman hakipandi?maana hilo laweza kuwa tatizo
vyuo vingi ili uajiriwe ni lazima uwe na GPA ya 3.8 kwenye degree ya kwanza na mimi nilikuwa na 3.4
Habari zenu ndugu zanguni,
Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.
Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?
MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
acha ushamba kwani kusoma PhD lazima uwe na upper class!..sasa ulisomaje PhD kama hata upper class ukufikisha?
MI NAMJUA HUYO!! NI FUNDI WA KUTENGENEZA NYWELE...!
na HIYO PHD ANAMAANISHA
PROFFESSIONAL HAIR DRESSER(Phd)
HIVI MTU MZIMA UNACREATE TOPIC KAMA HIYO HUONI KAMA UNAWAKATISHA TAMAA WADOGO ZETU?
HALAFU KAMA KWELI HUJABUNI TOPIC MBONA WATU WANACHANGIA HUJIBU HATA MMOJA.
HUYU ANATU ENYOY HANA CHA Phd WALA NINI...ILA SEMA UNA IDEA NA HICHO KITU NA PIA UNA KAUWEZO WA KUTENGENEZA TOPIC ZA UONGO ZINAZOVUTA HISIA ZA WATU...ILA SIO VIZURI, COZ UNAKATISHA TAMAA WATU.
NCHI YETU BADO YAIJAFIKIA HIYO HATUA..,ILA NCHI KAMA NIGERIA SAWA.
JIBU HATA COMMENTS ZA WATU BASI KAMA NI KWELI.
naona mods washampa ban
He deserve................
Nilimuonya hakunielewa